THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Enhee Utengwe Mkuu![emoji23][emoji23]Mm nilitembea na mtoto wa Mama mdogo
Kwamba inapigwa anytime,anywhere and at any circumstance![emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi Jogoo wa Shamba anawika mjinii, asubuhii, mchana na jionii
Wanakulana?[emoji23][emoji23]Kwa sasa ndo dhambi inayotrend
Ha ha haaMi sijawahi kupendwa na yoyote kwanza ni mweusi kama pampu mpya na maunyayo kama mtu wa kale pia na kisogo kama senene .Siku nikipendwa ntalala mlango wazi.