sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Niliwai muuliza Mzee wangu mmoja kwanini aliweza kuzaa watoto 16 kila mtoto na mama yake? Jibu lilikuwa moja tu, pesa ilikuwa inaongeza! Nikamuuliza kwanini watoto hao hukuwaita pesa, maana walitokana na fedha? Akasema hakufanya hivyo maana nao wangerithi ufezuri wake.
Je, wewe mwanaJF uliwai pata fedha zikakuletea ufedhuri?
Mitandaoni kuna taarifa za vifo vya mabilionea 5 waliokufa baada ya kwenda kufanya utalii pahali ilipozama meli kubwa Ile ya Titanic. Yupo jamaa yangu mmoja anadai hawa hawakwenda kufanya utalii, bali ni watu ambao vimada wao walikuwa miongoni mwa waliokufa kwenye meli ile.
Kwa mantiki hii walikodi hicho kifaa na kwenda nacho majiini kwa madai ya kuwa wanaenda kutalii kumbe walikuwa wanaenda kuangalia kama wataweza 'kukutana' na wenza wao.
Huu ni utalii wa namna gani? Ni lini eneo ilipozamia meli ile palitangazwa kama sehemu ya utalii?
Pesa ni pepo unaweza zishika zikakusogeza ahera.