Ulishawahi kuulizwa "habari gani?" Ukajibu "naokota embe"

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
Ile hali ya kutojiamini sijui kubutwaaa au nini,,, unakuta umekutana na mtu iwe njiani au hata kwako ghafla ,
Wakati wa maongezi yenu unajikuta unamjibu swala tofauti na alilokuuliza au alichoongea.

Nitaanza Mimi,,,

Leo wakati narudi hom nikapata surprise ya ugeni mgeni huyu tunaonana Mara 2 kwa mwaka SAA ingine hatuonani hata miaka 3.
Ile naingia hom mgeni nae huyo na pickup yakeikabidi nimuingize ndani akasalimia waliokuwepo ndani, mi nikakimbiza tumkoba kwangu chumbani ili nikae vizuri na mgeni.,
Sasa ile nafika mlango wa chumbani mgeni akawa ameinuka anatoka nje sikumsikia vizuri alichoongea mzuka ulitokea wapi jamani nikarusha kabegi niwahi sebleni nilichomwambia mgeni mpaka usingizi umekata,,,
Eti,,,, "aahh ndo unaondoka? Karibu tena, sie tupo hapahapa"
Daah kumbe mgeni alikuwa anaenda kwenye pickup yake atoe zawadi ya Mafuta ya kula na mfuko wa sabuni kg25 ndo tuongee vizuri,,,
Nilijihisi aibuuuu baada ya kutonywa na wenzangu kuwa hajaaga ila anaenda kutoa zawadikwenye gari,,,,

Yule mgeni aliposhusha zawadi akaondoka,,,

Tiririkeni na nyie za kwenu wadau,,,,,,,,,.
 
Mkuu pita kushoto fata njia hiyo utakutana na matagga wenzio huko jukwaa la siasa sio hapa
bulesi naona yupo resi kujibu utopolo FC

Sent from my Iᴩʜᴏɴᴇ 11 Pro using JamiiForums.com mobile app
 
Pole mkuu ongea na msaidizi wa lodge akupe maelekezo usije ingia vyumba vya watu ukastaajabu uyaonayo

Ha ha ha haaa
 
Iphone 11 pro 😂😂😂
 
Ha ha ha tunaomba na wewe kisa kimoja
Nikiwa sekondari usiku nikawa nazurura mjini nikakutana na polisi wa doria ikawa hivi:

Polisi: Umetoka wapi usiku huu tutakutia risasi wewe ni jambazi, tia risasi huyu.

Mimi: Nimetoka hapo mtaa wa pili kuchukua risasi

Polisi: Shenzi kabisa kumbe hiri ni rijambazi kweri weka mikono juu

Mimi: Samahani afande mimi sio jambazi ulimi umeteleza tu
 
Mi nilienda kumtembelea rafiki yangu kwao .Mda mrefu hatujaonana,Ile kufika kwao kumuona tu sebuleni kulikuwa na watu wengine.Basi nikamuuliza mwanangu vipi mbona unaumwa??!!! umekonda nini?? Watu walibaki kunishangaa niliona noma sana.
 
Ha ha ha khaaa polisi waliishiwa pozi
 
Mi nilienda kumtembelea rafiki yangu kwao .Mda mrefu hatujaonana,Ile kufika kwao kumuona tu sebuleni kulikuwa na watu wengine.Basi nikamuuliza mwanangu vipi mbona unaumwa??!!! umekonda nini?? Watu walibaki kunishangaa niliona noma sana.
Ha ha haaaa nimechekaaa
 
Ile hali ya kutojiamini sijui kubutwaaa au nini,,, unakuta umekutana na mtu iwe njiani au hata kwako ghafla ,
Wakati wa maongezi yenu unajikuta unamjibu swala tofauti na alilokuuliza au alichoongea.

Nitaanza Mimi,,,

Leo wakati narudi hom nikapata surprise ya ugeni mgeni huyu tunaonana Mara 2 kwa mwaka SAA ingine hatuonani hata miaka 3.
Ile naingia hom mgeni nae huyo na pickup yakeikabidi nimuingize ndani akasalimia waliokuwepo ndani, mi nikakimbiza tumkoba kwangu chumbani ili nikae vizuri na mgeni.,
Sasa ile nafika mlango wa chumbani mgeni akawa ameinuka anatoka nje sikumsikia vizuri alichoongea mzuka ulitokea wapi jamani nikarusha kabegi niwahi sebleni nilichomwambia mgeni mpaka usingizi umekata,,,
Eti,,,, "aahh ndo unaondoka? Karibu tena, sie tupo hapahapa"
Daah kumbe mgeni alikuwa anaenda kwenye pickup yake atoe zawadi ya Mafuta ya kula na mfuko wa sabuni kg25 ndo tuongee vizuri,,,
Nilijihisi aibuuuu baada ya kutonywa na wenzangu kuwa hajaaga ila anaenda kutoa zawadikwenye gari,,,,

Yule mgeni aliposhusha zawadi akaondoka,,,

Tiririkeni na nyie za kwenu wadau,,,,,,,,,.
Kijana mdogo ukijifanya mkereketwa wa maccm lazima uchanganyikiwe
 
Back
Top Bottom