Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Ile hali ya kutojiamini sijui kubutwaaa au nini,,, unakuta umekutana na mtu iwe njiani au hata kwako ghafla ,
Wakati wa maongezi yenu unajikuta unamjibu swala tofauti na alilokuuliza au alichoongea.
Nitaanza Mimi,,,
Leo wakati narudi hom nikapata surprise ya ugeni mgeni huyu tunaonana Mara 2 kwa mwaka SAA ingine hatuonani hata miaka 3.
Ile naingia hom mgeni nae huyo na pickup yakeikabidi nimuingize ndani akasalimia waliokuwepo ndani, mi nikakimbiza tumkoba kwangu chumbani ili nikae vizuri na mgeni.,
Sasa ile nafika mlango wa chumbani mgeni akawa ameinuka anatoka nje sikumsikia vizuri alichoongea mzuka ulitokea wapi jamani nikarusha kabegi niwahi sebleni nilichomwambia mgeni mpaka usingizi umekata,,,
Eti,,,, "aahh ndo unaondoka? Karibu tena, sie tupo hapahapa"
Daah kumbe mgeni alikuwa anaenda kwenye pickup yake atoe zawadi ya Mafuta ya kula na mfuko wa sabuni kg25 ndo tuongee vizuri,,,
Nilijihisi aibuuuu baada ya kutonywa na wenzangu kuwa hajaaga ila anaenda kutoa zawadikwenye gari,,,,
Yule mgeni aliposhusha zawadi akaondoka,,,
Tiririkeni na nyie za kwenu wadau,,,,,,,,,.