Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nichomekea kwenye kyupi halafu nikastuliwa na workmate wa kike
daaah...najaribu ku imagine..unavyotembea kwa kujiamini kumbe nguo ya ndani nje njeaiseeee..nilikua nimejikoki kwenda kufanya presentation chuo hapo ilikua ni Cost Accounting..mwanaume kumbe nimechomekea ndani ya boxer, iko juuu juu..halaf suruali iko chini yani..hahahh kwakwel ilibidi niwemkali sana na seriouz vibaya mnoo.
Teh tehMimi nichomekea kwenye kyupi halafu nikastuliwa na workmate wa kike