ulishawahi tembea kwenye kadamnasi na ukagundua hujafunga zipu ya suruali? ilikuwaje? ulifanyaje?

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
hepu tiririka hapa...mimi nakumbuka niliulizwa na rafiki yangu wa kike "unatangaza biashara au zipu ni mbovu?" nilitoka nduki balaaa...noma sana hii kitu
 
Mimi nichomekea kwenye kyupi halafu nikastuliwa na workmate wa kike
 
Mimi nichomekea kwenye kyupi halafu nikastuliwa na workmate wa kike
aiseeee..nilikua nimejikoki kwenda kufanya presentation chuo hapo ilikua ni Cost Accounting..mwanaume kumbe nimechomekea ndani ya boxer, iko juuu juu..halaf suruali iko chini yani..hahahh kwakwel ilibidi niwemkali sana na seriouz vibaya mnoo.
daaah...najaribu ku imagine..unavyotembea kwa kujiamini kumbe nguo ya ndani nje nje
 
nlipotezea kishkaji tu.ilikuwa nipo kweny kituo cha daladala maeneo flani ivi asa akawa ameniona jamaa yupo kweny dala2 siti ya mbele akanishtua kwa ishara kwamb funga zipu duh nkaangalia suruali ang kwel ipo wazi zipu nkaifunga ile kunyanyua kichwa nakuta kuna mdada kweny daladala aliniona anatabasamu...nami nkachek kidgo nkapoteaa
 
Dah...Mie kuna dada mmoja alinishtua "funga zipu" siku 2 baadaye akaifugua yeye... Sipendagi ujinga mimi[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
aaaaa hii hunitokea mara nyingi sana alaf wanaonistua ni wanawake namuuliza wewe hapa tu ndio umeona namuoneshea na matundu ya pua ambayo hayashangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…