Ulitoka na uzi gani hapa JF?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Tumefanya kazi kubwa hapa jukwaani kuelimishana, kurekebishana na mambo mbalimbali, leo tukumbushane uzi wako wa kwanza kuuandika hapa JF. Mimi nilianza na uzi unaitwa "Tusalimiane kinyumbani"

Ahsanteni nawatakia Jumapili njema.
 
Niliandika Uzi wa changamoto za bikira, baada ya kufanikiwa kwa shida sana kumtoa demu flani wa humu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…