mkuu unakumbushwa kumgeukia mungu ,yes ni dada rose huyo,ujumbe umefika kwenu woteUnampigia debe Rose Mhando?Naona ume'copy' na ku'paste' mashairi yake!
yes yes mkuu,rombo wazima?Hii ndo nyuuz aleti!! tehe tehe tehe!!
mkuu nimeshaokoka jina lisikupe tabuDah, ID yako na ujumbe kama nuru na giza...
Ye mwenyewe anaiba mume wa mtu, au ndio tufate maneno yake sio matendo?nampenda sana rozi mhando,kila album hakosi kuwaimbia makahaba wageuke waache njia zao mbaya!