Hii ni kweli kbs mungu n Kila kitu hasa ukimtanguliza kwa Kila jambo iwe gumu ama furaha..Jambo la kwanza ni kumuamini Mungu na kujiamini kuwa utashinda katika kila hatua kupitia yeye, pambana kuhakikisha unashinda yale yote magumu yaliyo mbele yako kwa sababu dawa ya tatizo ni kukabiliana nalo.
Sikupoteza muda kuendelea kulitafuta balaa nilitafuta uchochoro nikala Kona baada ya hapo nikajikuta nimeingia mitini,Ulifanyaje kukabiliana na jambo gumu la kukukatisha tamaa mpaka ukalishinda?