Wakuu, wakurungwa hongereni na majukum ya jumanne ya leo, nakuja na mada uliwezaje kununua chombo cha usafiri kwa bei rahisi?
Namanisha fedha kidogo tu ikawezekana kuwa na usafiri nahujajutia mpaka leo.
Katika tafiti zangu binafsi wengine wamesema nenda kwenye yadi za bima utapata, wengine wanasema tumia mafundi wa magari, wanajua mabosi wenye magari hawayatumii na walioshindwa kuyaendesha.
Wengine wamesema subiri mnada kwa taasisi, naaam tupe ushuhuda uokoe mtu fulani hapa huenda kwa kapesa kadogo akamiliki gar kwa kuwa sasa kumiliki gari sio anasa ni kitendea kazi kukuza uchumi wa familia na taifa kwa ujumla.