Ulitumia vigezo gani kuoa mke asiye na elimu, fukara na familia anayotoka pia fukara? Tupe uzoefu na changamoto

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Kichwa cha habari chahusika. Mdau mwenzangu hivi ilitokeaje ukaamua kuoa mke asiyekuwa na elimu, kipato na anayetokea familia fukara?

Ulitumia Nini hasa kufikia uamuzi wako? Hekima? Busara? Tamaa? Roho Mtakatifu? Ushauri? Ulikosa wakuoa?

Karibu utupe uzoefu na changamoto unazokabiliana nazo.

Alasiri njema.
 
Kwani mkuu ukiwa na roho mtakatifu si automatically unakuwa na busara na hekima...vyote hivyo vinakwenda pamoja

Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo, wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo kwa umpendae
 
Kuoa ni fumbo. Unaweza kuoa mwenye elimu na pesa na hizo pesa zake wala elimu yake isikufaidishe kwa lolote lile.

Pia wavulana "Mario" ni wengi siku hizi wanataka wanufaike na mwanamke. Wavulana siku hizi wakitaka kuoa wanaangalia mwanamke ana nini kwanza na anatoka familia gani, ina nini. 😁
Ndio maana wachaga, hata wawe na pesa vipi, mkwe ndo anatakiwa alete hela ukweni, mkwe anakabidhiwa mke anaenda kufia mbele huko. 😁

Pia unaweza kuoa mwanamke hana elimu wala kipato ila akawa na "nyota" kwenye maisha yake huyo mwanamke na ikaleta faida kwenu.

Tunaviziana sana siku hizi. Wanawake wamegeuzwa dili siku hizi. Binti akipata kazi ndo wanamuoa wakora. 😁
 
Kichwa cha habari chahusika. Mdau mwenzangu hivi ilitokeaje ukaamua kuoa mke asiyekuwa na elimu, kipato na anayetokea familia fukara?

Ulitumia Nini hasa kufikia uamuzi wako? Hekima? Busara? Tamaa? Roho Mtakatifu? Ushauri? Ulikosa wakuoa?

Karibu utupe uzoefu na changamoto unazokabiliana nazo.

Alasiri njema.
Sawa kwako pia
 
KATAA KATAAAAAAAAA KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI

#
PONDA MALI KUFA KWAJA
 
Kichwa cha habari chahusika. Mdau mwenzangu hivi ilitokeaje ukaamua kuoa mke asiyekuwa na elimu, kipato na anayetokea familia fukara?

Ulitumia Nini hasa kufikia uamuzi wako? Hekima? Busara? Tamaa? Roho Mtakatifu? Ushauri? Ulikosa wakuoa?

Karibu utupe uzoefu na changamoto unazokabiliana nazo.

Alasiri njema.
Niliangalia maono, heshima, uaminifu na upendo wake kwangu
 
Back
Top Bottom