Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
π€£π€£π€£π€£Tafutq Masters ,mwenye mshahara kama5 M na marupurupu yakutosha,halafu kwao wawe mambo safi.....Hakika utaenjoyndoa yako!
Sawa kwako piaKichwa cha habari chahusika. Mdau mwenzangu hivi ilitokeaje ukaamua kuoa mke asiyekuwa na elimu, kipato na anayetokea familia fukara?
Ulitumia Nini hasa kufikia uamuzi wako? Hekima? Busara? Tamaa? Roho Mtakatifu? Ushauri? Ulikosa wakuoa?
Karibu utupe uzoefu na changamoto unazokabiliana nazo.
Alasiri njema.
Niliangalia maono, heshima, uaminifu na upendo wake kwanguKichwa cha habari chahusika. Mdau mwenzangu hivi ilitokeaje ukaamua kuoa mke asiyekuwa na elimu, kipato na anayetokea familia fukara?