Ulivuka vipi kile kipindi chako cha foolish Age ?

Ulivuka vipi kile kipindi chako cha foolish Age ?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama mnavyojua kila mtu hapa kapitia kile kipindi cha balehe wenyewe wanakiita foolish Age ,

Yaani pale kama ni Ke yupo tayari kugombana na wazazi wake kwa sababu tu ya boyfriend wake, na pia Kama ni Me basi huwa wanajikuta ndio mafather house hawaambiliki alafu kwa kunusa mabinti sasa ndio usiseme yupo tayari kupigana kisa demu,

Foolish age ni foolish age tu mara nyingi muhusika anafanya vitu kwa sababu ya hormon imbalance lakini akishakuwa na umri furani anakuwa poa kama siyo yeye,

Je wewe ulipitaje kipindi chako cha foolish Age ?

Binafsi nilikuwa mzee wa kuwala sana kwa wiki naweza nisipumzike ata siku moja ni mimi na papuchi papuchi na mimi tu ila ninachoshukuru sikuwa kiburi kwa wazee nilikuwa nafanya kazi za home fresh nikimaliza ndio nafanya mambo yangu.
 
Natarajia kuingia foolish age siku sio nyingi zijazo; nitakitumikia hicho kipindi kikamilifu na sitopangiwa cha kufanya over!!
 
Muda kama huu nimeshavaa sox pea 3 nipo tayari kumnyatia beki tatu wetu maria kama nikiona wazee hawajalala fofofo nilikuwa naongezea na kutandika taulo chini wakati huo bawaba za mlango wake nimeshazipaka mafuta tokea mchana nikifika mlangoni natumia dakika 5 kufungua mlango mpk nipate upenyo wa kuingia.

Tumetoka mbali jamani
 
Mi nlikuwa firm one kibasila, mitaa ya chimo la udongo stori zilikuwa za kuzamia meli tu, tulitaka kuzamia nyambizi ya south africa ilikuja wenzangu 4 walizamia hadi leo wapo saz ila mmoja alikufa
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] unanyata kuliko paka akiwinda panya mkuu?
 
Mi nlikuwa firm one kibasila, mitaa ya chimo la udongo stori zilikuwa za kuzamia meli tu, tulitaka kuzamia nyambizi ya south africa ilikuja wenzangu 4 walizamia hadi leo wapo saz ila mmoja alikufa
Form one ndoto za kuzamia meli kweli mlikuwa mashababi
 
[emoji3][emoji3]

Aisee
Muda kama huu nimeshavaa sox pea 3 nipo tayari kumnyatia beki tatu wetu maria kama nikiona wazee hawajalala fofofo nilikuwa naongezea na kutandika taulo chini wakati huo bawaba za mlango wake nimeshazipaka mafuta tokea mchana nikifika mlangoni natumia dakika 5 kufungua mlango mpk nipate upenyo wa kuingia.

Tumetoka mbali jamani
 
Nilikua kidato cha tatu, O Level nimesoma Day School kwa hivyo niliishi na wazazi wangu nyumbani nikisoma.

Nilikuwa na Vgirl friends nikiwa shuleni na kwa hivyo nilipokea vizawadi kama gift cards, flowers na vizawadi vingine, na kwa kuwa sister angu alisoma boarding school, nikafanya chumba chake store ya hivyo vizawadi vya wapenzi wangu.

Siku moja nikagundua card moja siioni! Ilkuwa ikifunuliwa ina fanya music alafu na baadhi ya vi message note muhimu havionekani pia.
Nikafanya kuuliza kila mtu home isipokuwa Mama, Wote wakasema hawajui chochote.

Nilikasirika sana, ukizingatia hiyo card ilitoka kwa mtu muhimu sana!!

Kwahivyo niliamua kuchuna though nilijua hakuna mwingine isipokuwa Mama kachukua vitu vyangu.

Mahusiano na mama yakapungua na aligundua hilo, alichofanya akawa ananichokoza ili tuzungumze lakini mimi sikutaka.

Maisha yakaendelea lakini ikawa ni visavisa vingi ... Ratiba yangu ikawa inaingiliwa na vikazi vya hapa na pale, lakini maisha yalisonga.

Nakumbuka ilikuwa msimu wa Valentine's, siku mbili kabla nikaandaa Gifts kwa GF wangu, ilikuwa UA kubwa kiasi bei ilikuwa Tsh8500/-, nikanunua pamoja na Saa ya mkononi. Nikampa dada angu mtoto wa Uncle alikuepo home, nikitaka alifunge kwa gift paper liwe na muonekano mzuri na saa pia nikampatia aiweke vizuri!

Dada angu huyu alikuwa mshikaji wangu sana na ishu zangu nyingi kuhusu vi girl vyangu anajua, so namuamini sana.
Sasa picha linaisha jioni nimerudi, namuuliza vipi vitu vyangu tayari.? Ananambia mama kaiona amechukuwa!

(Kumbe Mama alipoona vile vitu mara ya kwanza, siku zote ananichora tuu/alikuwa akinifuatili na huyo GF tayari anamjua)

Aisee siku ile ilikuwa nipasuke kwa hasira! Sikula siku hiyo nkajifungia ndani na sikuongea na mtu. Yaani ikiwa nikiunganisha matukio na lile la kwanza, napata hasira nalia tuu nalia tuu. Nasema "sasa mama atazidi!!" SIKUBALI!!!!

Asubuhi nikajiandaa kwenda shuleni, nisha maliza kujiandaa natoka Mama kaniiita, sasa hapo hasira nashindwa hata kumtazama usoni! na yeye anajifanya kuwa na hasira. Swali ana niuliza kwa nini sikula usiku, ilikuwa rahisi kujibu lolote mambo yaishe, ila kwa sababu nilikuwa na hasira nilikaa kimya!

Alicho fanya akataka anichape kofi, kwangu yeye ni mfupi kidogo me ni mrefu so ikawa rahisi kudaka mkono wake na bila kujua nini nafanya, nilijikuta nimenyanyua mkono! Yani ilibaki kidogo nimchape KOFI mama angu Daaaah! Sisahau hii

Nashukuru Mungu haikutokea, naamini hilo ni jambo linge ninyima raha maisha yangu yote iwapo ninge ushusha mkono wangu juu Mama angu mzazi.

Nashukuru tuna mahusiano mazuri na wazee wangu hawa, nahisi pia Baba hakuwahi kuambiwa hii ...

BTW Mungu awajalie Afya njema.

Amen
 
Kama mnavyojua kila mtu hapa kapitia kile kipindi cha balehe wenyewe wanakiita foolish Age ,

Yaani pale kama ni Ke yupo tayari kugombana na wazazi wake kwa sababu tu ya boyfriend wake, na pia Kama ni Me basi huwa wanajikuta ndio mafather house hawaambiliki alafu kwa kunusa mabinti sasa ndio usiseme yupo tayari kupigana kisa demu,

Foolish age ni foolish age tu mara nyingi muhusika anafanya vitu kwa sababu ya hormon imbalance lakini akishakuwa na umri furani anakuwa poa kama siyo yeye,

Je wewe ulipitaje kipindi chako cha foolish Age ?

Binafsi nilikuwa mzee wa kuwala sana kwa wiki naweza nisipumzike ata siku moja ni mimi na papuchi papuchi na mimi tu ila ninachoshukuru sikuwa kiburi kwa wazee nilikuwa nafanya kazi za home fresh nikimaliza ndio nafanya mambo yangu.
Wew kwel hufai kabisa
 
Nilikua muoga hatar, mama mwalimu, baba mjeda (pongo) nilikua nachezea kipondo hatar kisa kuzulula kwenye michezo ya kawaida.
 
Back
Top Bottom