Ulivutiwa na track ipi katika album ya utambulisho wa wachezaji ya Ahmed Ally?

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Huyu mwamba alitubariki album bora zaidi ya utambulisho wa wachezaji kuwahi kutokea tangu matamasha haya ya michezo yaanzishwe nchini.

upande wangu nilivutiwa zaidi na tracks zifuatazo ktk album hii kali ya utambulisho wa wachezaji

1. Hatujamalizaaaaaaa
Kwenye hii track mwamba kaua sana akimtambulisha mzungu

2. Tanzaniaaaa na congooooo
hapa mwamba aliua zaidi akimtambulisha beki kitasa inonga

je, wewe ulivutiwa na track ya utambulisho wa mchezaji gani toka kwa huyu mwamba ahmed ally?
 
Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko Yanga
 
Huyu mwamba alitubariki album bora zaidi ya utambulisho wa wachezaji kuwahi kutokea tangu matamasha haya ya michezo yaanzishwe nchini.
kila tukio lina muda wake, hilo limepita watu wako Twitter wanazungumzia CAF Super Cup 2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…