Uliwahi kopa hela kwenye app za online, ilikuwaje?

Bahati mbaya haijawa kunikuta nakidhi vigezo...

Yas waanidai, Voda waanidai, airtel line ulipotea ila nilikuwa kuna kifurushi lazima nilioe deni.

Ama kweli nilikuwa kapuku wa kutupwa
Naongelea zile app za play store.na sio hizi za midandao ya cm.
Huko hata nikikopa lazima nirudishe.
Nasemea zile app zenye riba mara 4 ya ulichokopa
 
Niliwahi kupigiwa simu Kuwa ndugu yangu amekopa na hataki kurudisha deni hivyo watam-post kwenye mitandao kama tapeli mkubwa nchini. Nikawajibu hata mimi namtafuta maana amenikopa, wakimpata wanijulishe, hawakurudi tena.
 
Ulitakiwa uwafungie tu.no ngeni isiingie kwa cm yako.hiyo ndo kiboko yako.
Nimekopa sana hizi app karibu zote
Wakikukosa wanakuchoresha wana access na phonebook yako wajinga wanasomq hadi msg zako pia wana access na gallery yako sema kibongo bongo wanaruhusiwa tu kutumia phone book yako watawqpigia adi maaskofu wako kisa sabini elfu
 
Wajinga wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…