Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Nimegundua watu wengi maarufu huwa hawapendi kupingwa mawazo yao, hawapendi kukosolewa na sivyo walivyo km wanavyoonekana kwenye media. Wengi wao ni wapenda sifa tu na umaarufu.
Binafsi nimekuwa muhanga wa kuwa blocked mara nyingi na hawa watu sbb ya kukomenti mawazo tofauti na waliyopost kwenye kurasa zao.
Katika hili anayeongoza ni jamaa mmoja wa chadema huwa anaendesha chalenji za kusaidia watu wenye shida mbalimbali, fine ni jambo jema ila huyu njemba ni kati ya watu madikteta wasiopenda mawazo mbadala huku wakijinasibu wachaMungu na kutia huruma wakati wa kuhamasisha michango.
Sahau ukomenti tofauti nayeye au hata ulike comment ya mtu ambayo haikumfurahisha unachezea block. Huyu mshamba mmoja nimemtumia km sample tu ila wako wengi.
Demokrasia ni ngumu sana hata chadema wakiwa madarakani mambo yatakuwa ovyo tu maana charity begins at home.