Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,413
,[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]Kiongozi mmoja maarufu wa CCM niliona ameandika utopolo nikwandikia 'matako hua yanasingiziwa tu maana yenyewe yanatumika Kama spika tu,mchawi tumbo'.
Nikapigwa block,Sasa sijui huyu mwenzetu hua hajambi?
Mkuu wala tukio la kuniblock siyo hilo, ni issue nyingne za kisiasa.Sasa kwenye jambo jema kama analofanya huyo jamaa ww ukienda kukosoa lazima upigwe block tu. Coz hoja zako zinaweza warudisha nyuma wenye kusudi la kuchangia..!
[emoji38][emoji28][emoji1787]dah!Kiongozi mmoja maarufu wa CCM niliona ameandika utopolo nikwandikia 'matako hua yanasingiziwa tu maana yenyewe yanatumika Kama spika tu,mchawi tumbo'.
Nikapigwa block,Sasa sijui huyu mwenzetu hua hajambi?
Hujamjua vizuri au pengine mnafahamiana, sijui kitu kinaitwa matusi mkuu ila yule mwamba ni much know afu anapenda sana sifa.Kama aliyeku block ni Malisa basi ndugu unashida mahali.
Ninapishana naye sana mitazamo ila hajawahi kuniblock.
Ukiandika utopolo au matusi lazima akublock na uzuri wake huwa anaweka reason why ameblock mtu fulani.
Kuwa mstaarabu utaheshimika demokrasia sio matusi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Asante mkuu wewe ndio umejua nlichomaanisha, nlitaka kujua hawa watu hukwama wapi, uliweka facts ila bado akakublock, wengiwao wanapenda kusifiwa tu. Angalau Yericko Nyerere huwa anajitahidi kushindana kwa hoja.Mimi niliblockiwa na msemaji mkuu wa serikali.
Huyu jamaa ni sukuma gang na ni CCM kindakindaki kiasi kwamba anashindwaga kujificha.
Kwenye mtandao wa twitter
So alipost upuuzi fulani hivi akim support IGP kipindi cha tukio la hamza.
Mimi nikam attack direct kuwa huyo Hamza ni mwanaCCM n akajenga ofisi ya chama huko mbeya kulipo mgodi wake? Nkaweka video akikabidhi ofisi na picha ya hamza katupia vazi la ccm.
Dah uvumilivu ukamshinda akaniblock.