Uliwahi kumwacha mkeo/mume halafu ukaja kujuta baadaye?

Uliwahi kumwacha mkeo/mume halafu ukaja kujuta baadaye?

davetz28

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2017
Posts
543
Reaction score
624
Tafadhali naomba TUPEANE uzoefu kwa wale waliokuwa kwenye mahusiano , lakini mahusiano yao hayakwenda kama walivyotarajia.

Je, mlio vunja uhuano mlikuja KUJUTA baadae? Nini kilikufanya umrudie kama ulimrudia? Je, kwa ambao waliendelea na maisha na kuoa na kuolewa na wengine changamoto gani mlipitia?

Nawasilisha.
 
Nina changamoto ya kimahusiano nimekuja kupata uzoefu
mimi sijawai kujuta kumuacha mwanamke akizingua namzingua pia maisha yanaendelea, em funguka kidogo changamoto gani uko nayo labda naweza kuwa na lakusema
 
Back
Top Bottom