Tafadhali naomba TUPEANE uzoefu kwa wale waliokuwa kwenye mahusiano , lakini mahusiano yao hayakwenda kama walivyotarajia.
Je, mlio vunja uhuano mlikuja KUJUTA baadae? Nini kilikufanya umrudie kama ulimrudia? Je, kwa ambao waliendelea na maisha na kuoa na kuolewa na wengine changamoto gani mlipitia?
Nawasilisha.