mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Mlipotezanaje sasaYeah. Nimemkumbuka mpenzi wangu wa zamani Samira, tulikutana kwenye basi la Hood tukitokea Moshi kuja Dar. Yule binti alikuwa ni mrembo hatari. Ilikuwa mwaka 2008, kipindi hiko ndio nimemaliza chuo huku yeye akiwa ndio kamaliza form six.
Mapenzi yetu yalianza kwa kugombania kukaa siti ya dirishani. Dem alikuwa ni mtata hatari, nikatumia diplomasia, nikamwacha akae.
Embu tupe stori zaidiKuna usalama wa taifa nilisafiri naye kwenda Makambako, nina imani yupo salama huko alipo, nimekumbuka maongezi yetu
Ni mambo mengi tu yalitokea hapo katikati. I dont even want to remember. πMlipotezanaje sasa
[emoji23][emoji23][emoji23] SawaNi mambo mengi tu yalitokea hapo katikati. I dont even want to remember. [emoji28]
unapiga dry au mixerTuvute tu bangi
Tell us..........
Ww ni babuDah....Shazia....tulipanda wote Basi la Kamata... Kutoka Dar hadi Arusha....1967.... Siku 3 zile za safari zilikuwa za furaha Sana.......uko wapi Shazia? [emoji7][emoji7]
Dah....ndiyo Mimi ni Babu....Ila misuli bado ipo ngangari .....na nawakomesha π€£π€£π€£π€