Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Hiyo kapo hiyo si mchezo!
Nimeshuhudia ndoa yenye kuwaunganisha watu hawa wawili maarufu kwa majigambo Tanzania,
Mke akiwa Mhaya, Mme awe Mnyakyusa, yaani utafurahii kuona video ya mkandara bila kiingilio!
Wanajua kutamba hata kama hawana mia mfukoni!
hizi ni kashfa sasa......
Kashfa gani tena Mkuu! Jamaa ameziona tambo za hizo jamii ndio akatushirikisha! Mbona kuna kaukweli flan!?
alieandika thread hii ajipange upya
Hiyo kapo hiyo si mchezo!
hizi ni kashfa sasa......
Kashfa gani mkuu? Kwani wewe uliwahi waona?
Hivi basil mramba,masiringi,ngereja,makamba,malima jr,william malecella,sophia simba etc,..etc....ni wanyakyusa ama wahaya....!...huu ni ujuha na chuki ndio umekuongoza kuandika hii thread.
sijawahi_wewe umewahi waona..?
alieandika thread hii ajipange upya
Rudia kusoma vizuri uzi wangu, nimeeleza wazi kuwa nimewahi kuwaona
Yeah...ni uzao wa akina nyenyere.
nimeurudia na kuusoma vizuri,..nimegundua haujawahi kuwaona ila ume_hadithiwa,..nawe ukaamua kuleta hapa