Uliwahi kusikia story gani ya Iddi Amini Dada, ikakupa hasira?

Uliwahi kusikia story gani ya Iddi Amini Dada, ikakupa hasira?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Namuitaga Sheikh Iddi Amini Dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie.

Je, uliwahi kusikia story gani ya Iddy Amini Dada ikakupa hasira?

images (2).jpeg
images (1).jpeg
 
Namuitaga shekh idi amini dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie.

Je uliwahi kusikia story gani ya IDI AMINI dada ikakupa hasira..???[emoji116]View attachment 2572442View attachment 2572443
Dah kuna jamaa O level alikua muongo yule mtu alidiriki kusema kua Amini alikua ana sura mbaya hata huwezi kumtizama dah F popote ulipo ulijua kuwadanganya watu yni

Kuna rafiki etu mwingine Mzee wake ni mjeda yy akatuletea wimbo wa jogging ule na ulifana kweli unamhusu Amini

Iddi amini wa uganda,alikua kamanda
Alikua mubaya,alikua mubaya wa uganda
Pole sana amini X4
Tulidhani kwamba utashinda, ulipokua kagera
Wakati ndio mali ya TZ
Pole sana Amini X 4
 
Alijua kuwanyoosha mabeberu alikua beberu wao naskia walikua had wanambeba,,,
 
Hadi keo siujui ukweki halisi wa huyu mwamba.
Ccm ikianza kutufanya nisukule tangu enzi ya Nyerere
 
Back
Top Bottom