Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Dah kuna jamaa O level alikua muongo yule mtu alidiriki kusema kua Amini alikua ana sura mbaya hata huwezi kumtizama dah F popote ulipo ulijua kuwadanganya watu yniNamuitaga shekh idi amini dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie.
Je uliwahi kusikia story gani ya IDI AMINI dada ikakupa hasira..???[emoji116]View attachment 2572442View attachment 2572443
😂😂NDULI ALFASHIST IDD AMINI DADA..
Alikua anakula matako ya watu akachukua tipa akajaza vilema na ombaomba akaenda kuwamwaga mtoni,wakaliwa na mamba