Uliwahi kutoka kimapenzi na msichana ambaye alipata division one form four/six?

[emoji3516]
WAKUU-

HATIMAYE NDUGU YANGU MWENYEWE FOUR YA 33 ATOA DUKUDUKU LAKE KAMA MNAVYOONA!!!
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Maisha yako yote. Sijawahi kufeli shule mimi japo Div 1 sijawahi ipata pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi anajua kukatikaa? Au muda wake alimalizia kwenye Div 1?[emoji3][emoji3]
 
dahhhh
na ss tuliopita na f4 failer ambao kwa ss ni ma single mother tunacomment wap au kwa asira tuazishe uzi wetu
 
Aaaa wee Jamaaa
Weee kusex per single day unaona ni ishuu
Akati sisi ni Mama watoto wetuuu
 
Vilaza mnachukia sana watu smart. Kadhalika maskini wanachukiana sana matajiri.
 
Mabinti wanaosoma udsm. Zaidi ya Asilimia 80 wamepata hizo division one

Kama mganga kakutuma nenda katongoze mabinti wa udsm
 
division one unaleta uzi je ungekula autodiducts je si ungefariki wewe.
 
Mademu walioko nondo shuleni huwa wako zero kitandani
 
Hao kupiga ni rahisi sana ,,,maana kwa wengi wanakuja kupeleka akili zao kwenye mapenzi wakifikaga chuo au wakimaliza,,,,,,kama ulivyosema kuhusu elimu ya mtaa,,,hao wengi hawana elimu ya mtaa na mambo mengi wanakuja kuyajulia uraiani baada ya kumaliza masomo.....anaweza akaishi uswazi ila asijue A to Z za uswazi hadi pale akiishi mwenyewe sasa huko uswazi baada ya masomo
 
Kumbe kasoma girls ndo mana bado ako na nyege za kutosha.
 
Akili za kindezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…