Uliwahi kuunguziwa kitu gani na matatizo ya umeme ya Tanesco (Kata washa, Umeme kufifia, n.k)

Uliwahi kuunguziwa kitu gani na matatizo ya umeme ya Tanesco (Kata washa, Umeme kufifia, n.k)

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k.

Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara

Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na hufanya vifaa visipate umeme wa kutosha,mfano taa zinafifia
 
Pasi, Umeme ukakatika ghafla, ulivyokuja kurudi pasi haiwaki,
Kupeleka kwa fundi anasema ishaungua hii, bas nikauza km skrepa pale pale.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom