Uliwahi kuzini na majini??

Uliwahi kuzini na majini??

PDIDY...MMILIKI WA BADBOYS ENTERTAINMENT AU?.... NOOOO....nahisi kama wewe ni MZIMU wa yule marehemu pdidy wa mai-matha...maana ulichokiandika kimekaa ki-mzimumzimu hivi...hakieleweki na sie binadaam wa kawaida...GET B ACK TO UR SENSES N WRITE SOMETHING "TANGIBLE"... yani kama una-hangover hivi.... am sorry kama nimekukwaza ila najaribu kuelezea "state of ur mind" ulivyokuwa unaandika thread yako
 
Huyo atakuwa popobawa...! Dawa ni kusali kiukweli na sio kwa kuigiza....! Aidha, apewe pole. Je, huyo jini ni mwanamke au mwaume?
 
pole sana mkuu wengine kiswahili tulirushwa darasa

ni jiran yangu amenijia anaingiliwa usiku na mwanaume.apoapo anadai kuna jiran mwenzetu amekuwa akitembea na mke wake siku nyingi amemhisi anamtupia mazagazaga hope umeelewa nkampa msaada wa kuombea akatoka mita akazidi kuniomba niulizie jijnsi ya kumsaidia..binafsi nje ya maombi sina nkasema ndugu wenye uwezo wa kumsaidia labda kwa mawazo nikaona nilete kwenu...jumatatu yangu imeanza leo siwe na shaka
happy wed
 
Huyo atakuwa popobawa...! Dawa ni kusali kiukweli na sio kwa kuigiza....! Aidha, apewe pole. Je, huyo jini ni mwanamke au mwaume?

mwanaume mwenzake kaka..mmh haya mambo bana yakihusisha na ujiran uchelwi kuingia kwenye lupu kama kumbi kumbi...sijui kama mna msaada mwingine ....
 
Ndugu zanguni kuna kaka mmoja msilamu amenifwata asbh nyumbani akasema ana siku ya sita leo anamwona mtu anazizini nae kila akikataa wapi...nikamwambia ndugu mimi kama mimi mkristo hayo ni mapepo ni swala la kupiga prayers yanatoka so uko tayari akaniangalia akutaka ata kukaa ndani akatoka nje akasema embu njoo uku..nikamwambia sina msada zaidi ya hapo mwisho akaniambia ndugu jitahd uulize utanisaidiaje..nashindwa kumwambia hata mkewangu hili nikamuuliza ukiamka mbele kuko ok akaniakikishia huko eeeh mchan usiku abh nikamwambia basi akuna shaka maana tunaweza tibu moja kumbe la pili lishaanza .....,kingine kuna jibaba ana benzi yake hapa akasema sikunyingi anahisi anatembea na mkewe na majuzi kamwota anampulizia..mmh ndugu nikashtuka kidogo nkasema nsijeingia kwenye junction sio yangu.anyway wanadnugu tumsadie kijana wetu na mbaya ikifika saa saba nane anamwona mtu anamvua nguo anakataa anamlzimisha..anyway swala la kukata ama alikubali hiyo siri yake tumsaidie kaka yetu

ila kamani mkristo una tatizo kama hili ooooooooooooooooooooh nione fasta ..apigweeeeeeeeeeeeeeeeeee apigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa salamu kwa wenye tabia chafu kama hizo[/QUOTE

Wewe kijana unalako jambo sio bure kama umekuja tangaza uwezowako uwemkweli usitumie vigezo vya dini za watu inahusiana nini kusema usilam hapo
 
pole sana mkuu wengine kiswahili tulirushwa darasa

ni jiran yangu amenijia anaingiliwa usiku na mwanaume.apoapo anadai kuna jiran mwenzetu amekuwa akitembea na mke wake siku nyingi amemhisi anamtupia mazagazaga hope umeelewa nkampa msaada wa kuombea akatoka mita akazidi kuniomba niulizie jijnsi ya kumsaidia..binafsi nje ya maombi sina nkasema ndugu wenye uwezo wa kumsaidia labda kwa mawazo nikaona nilete kwenu...jumatatu yangu imeanza leo siwe na shaka
happy wed
kumbe kiswaili unakijua mbona ulikuwa unaficha ficha au yamekukuta mwenyewe, anyway siamini ktk hayo so natupa kule
 
so natupa kule

AMEN
 
Ndugu zanguni kuna kaka mmoja msilamu amenifwata asbh nyumbani akasema ana siku ya sita leo anamwona mtu anazizini nae kila akikataa wapi...nikamwambia ndugu mimi kama mimi mkristo hayo ni mapepo ni swala la kupiga prayers yanatoka so uko tayari akaniangalia akutaka ata kukaa ndani akatoka nje akasema embu njoo uku..nikamwambia sina msada zaidi ya hapo mwisho akaniambia ndugu jitahd uulize utanisaidiaje..nashindwa kumwambia hata mkewangu hili nikamuuliza ukiamka mbele kuko ok akaniakikishia huko eeeh mchan usiku abh nikamwambia basi akuna shaka maana tunaweza tibu moja kumbe la pili lishaanza .....,kingine kuna jibaba ana benzi yake hapa akasema sikunyingi anahisi anatembea na mkewe na majuzi kamwota anampulizia..mmh ndugu nikashtuka kidogo nkasema nsijeingia kwenye junction sio yangu.anyway wanadnugu tumsadie kijana wetu na mbaya ikifika saa saba nane anamwona mtu anamvua nguo anakataa anamlzimisha..anyway swala la kukata ama alikubali hiyo siri yake tumsaidie kaka yetu

ila kamani mkristo una tatizo kama hili ooooooooooooooooooooh nione fasta ..apigweeeeeeeeeeeeeeeeeee apigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa salamu kwa wenye tabia chafu kama hizo

Kuna muungwana mmoja aliwahi kuongelea kitu kama hii hapa jamvini but simkumbuki jina, ila nilchokuwa nimekinote ni kwamba jamaa hakupata msaada wa ushauri hapa zaidi alipakwa sana kwa kuleta hayo mambo ya kishirikina jamvini. Sina uhakika kama leo weye utabahatika ndugu.

Unakumbuka popo bawa? Ukisimuliwa tu usiku unaofuata anakuja kwako na umesema ni mwanaume!!! Lol! Ukilala leo jipasulie yai ajue alishapita laa! sivyo leo utakoma!!
 
ndugu zanguni kuna kaka mmoja msilamu amenifwata asbh nyumbani akasema ana siku ya sita leo anamwona mtu anazizini nae kila akikataa wapi...nikamwambia ndugu mimi kama mimi mkristo hayo ni mapepo ni swala la kupiga prayers yanatoka so uko tayari akaniangalia akutaka ata kukaa ndani akatoka nje akasema embu njoo uku..nikamwambia sina msada zaidi ya hapo mwisho akaniambia ndugu jitahd uulize utanisaidiaje..nashindwa kumwambia hata mkewangu hili nikamuuliza ukiamka mbele kuko ok akaniakikishia huko eeeh mchan usiku abh nikamwambia basi akuna shaka maana tunaweza tibu moja kumbe la pili lishaanza .....,kingine kuna jibaba ana benzi yake hapa akasema sikunyingi anahisi anatembea na mkewe na majuzi kamwota anampulizia..mmh ndugu nikashtuka kidogo nkasema nsijeingia kwenye junction sio yangu.anyway wanadnugu tumsadie kijana wetu na mbaya ikifika saa saba nane anamwona mtu anamvua nguo anakataa anamlzimisha..anyway swala la kukata ama alikubali hiyo siri yake tumsaidie kaka yetu

ila kamani mkristo una tatizo kama hili ooooooooooooooooooooh nione fasta ..apigweeeeeeeeeeeeeeeeeee apigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa salamu kwa wenye tabia chafu kama hizo[/quote

wewe kijana unalako jambo sio bure kama umekuja tangaza uwezowako uwemkweli usitumie vigezo vya dini za watu inahusiana nini kusema usilam hapo

nafikiri unalazimisha hoja ambazo azipo..soma vizuri uelewe haya matatizo ya kuchungulia **** utotoni mbaya sana zinaaaribu macho hadi uzeeni..
 
nafikiri unalazimisha hoja ambazo azipo..soma vizuri uelewe haya matatizo ya kuchungulia **** utotoni mbaya sana zinaaaribu macho hadi uzeeni..
mmh hapa naona mtu anataka kwenda Segerea bila kesi

Ushauri kwa Pdidy: Naona bwawa limeingia ruba watu wame-perceive topic kivingine kama vipi wapotezee tu usijibishane nao (TUPA KULE)
 
Back
Top Bottom