Uliwahi kuzini na majini??

PDIDY...MMILIKI WA BADBOYS ENTERTAINMENT AU?.... NOOOO....nahisi kama wewe ni MZIMU wa yule marehemu pdidy wa mai-matha...maana ulichokiandika kimekaa ki-mzimumzimu hivi...hakieleweki na sie binadaam wa kawaida...GET B ACK TO UR SENSES N WRITE SOMETHING "TANGIBLE"... yani kama una-hangover hivi.... am sorry kama nimekukwaza ila najaribu kuelezea "state of ur mind" ulivyokuwa unaandika thread yako
 
Huyo atakuwa popobawa...! Dawa ni kusali kiukweli na sio kwa kuigiza....! Aidha, apewe pole. Je, huyo jini ni mwanamke au mwaume?
 

pole sana mkuu wengine kiswahili tulirushwa darasa

ni jiran yangu amenijia anaingiliwa usiku na mwanaume.apoapo anadai kuna jiran mwenzetu amekuwa akitembea na mke wake siku nyingi amemhisi anamtupia mazagazaga hope umeelewa nkampa msaada wa kuombea akatoka mita akazidi kuniomba niulizie jijnsi ya kumsaidia..binafsi nje ya maombi sina nkasema ndugu wenye uwezo wa kumsaidia labda kwa mawazo nikaona nilete kwenu...jumatatu yangu imeanza leo siwe na shaka
happy wed
 
Huyo atakuwa popobawa...! Dawa ni kusali kiukweli na sio kwa kuigiza....! Aidha, apewe pole. Je, huyo jini ni mwanamke au mwaume?

mwanaume mwenzake kaka..mmh haya mambo bana yakihusisha na ujiran uchelwi kuingia kwenye lupu kama kumbi kumbi...sijui kama mna msaada mwingine ....
 
 
kumbe kiswaili unakijua mbona ulikuwa unaficha ficha au yamekukuta mwenyewe, anyway siamini ktk hayo so natupa kule
 
so natupa kule

AMEN
 

Kuna muungwana mmoja aliwahi kuongelea kitu kama hii hapa jamvini but simkumbuki jina, ila nilchokuwa nimekinote ni kwamba jamaa hakupata msaada wa ushauri hapa zaidi alipakwa sana kwa kuleta hayo mambo ya kishirikina jamvini. Sina uhakika kama leo weye utabahatika ndugu.

Unakumbuka popo bawa? Ukisimuliwa tu usiku unaofuata anakuja kwako na umesema ni mwanaume!!! Lol! Ukilala leo jipasulie yai ajue alishapita laa! sivyo leo utakoma!!
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…