Jimmy ally
Senior Member
- May 11, 2017
- 156
- 279
Dah! Hivi majuzi bwana alikuja dem wangu wa village town kunitembelea.sasa kinchofanya niandike Uzi huu ni kwamba dem nilimwambia ashukie sehem flan atakuta nimemsubili, sasa aliposhukia pakawa mbele kidogo kama atua kum hv .sasa aliposhuka akanipigia sm "uko wap mbona sikuoni?" Nami nikajibu sikuon pia labda umeshukia tofauti na nilipo kwambia kama kuna mtu niongee nae ,dem akaniambia kunabodaboda kalibu ebu ongea nae.bodaboda kuchukua tu sim akaniuliza "nimlete wap?" Nikamuelekeza nilipo akasema poa .dah sekunde aikuisha mara pah hao! Akashuka dem nikaona anato buku na kumlipa bodaboda bodaboda akageuza zake ,.sasa dem akaanza kuniambia mbona mm nilikuwa ng'ambo ya barabara ila hapa tu dah! ...
Je we ni gem gani ki town kuchezewa mpaka ukakuna kichwa ukajiona bwege kwa mda? Na ukabaki nijicheka? Nawakilisha.
Je we ni gem gani ki town kuchezewa mpaka ukakuna kichwa ukajiona bwege kwa mda? Na ukabaki nijicheka? Nawakilisha.