Liyambange
Member
- Jul 16, 2024
- 33
- 43
Usipende kuwa peke yako jichanganye na watu ambao wapo na wewe utakao waona wanaweza kupokea hali uliyo nayo.Uliwezaje Ku Overcome Depression/Msongo wa Mawazo Uliyowahi kupitia?
wana jf Share Story Yako na Uhakika inaweza Kumsadia Mtu
Kama unasumbuliwa na depression/msongo wa mawazo pole sana, ila usijali haupo peke yako asilimia 90 ya users wa jamii forum wanasumbuliwa pia na moja ya magonjwa ya akili na personality dissorder wanakuja humu kukimbia uhalisia wa maisha yao waki log in ni watu wengine kabisa na walivyo ,cha kufanya fungua account nyingine kisha tengeneza personality mpyaUliwezaje Ku Overcome Depression/Msongo wa Mawazo Uliyowahi kupitia?
wana jf Share Story Yako na Uhakika inaweza Kumsadia Mtu
Ndo nipo kwenye iyo situationSasa mbona wewe hujatuambia ulipitaje?
Sawa kiongozi hii inaweza saidiaKeep busy, listening music hip hop, playing basketball, jogging