P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara.
Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane,
Sasa siku moja ilikua ni usiku sana alafu mvua inanyesha na hana sigara ilibidi aende kutafuta duka lililo wazi akakosa duka lililo wazi mida hiyo kuna duka moja muuzaji analala hapo ikabidi amgongee aamke ili amuuzie japo sigara akafanikiwa kuipata kumbuka mda huo kuna mvua
Akarudi geto ili sasa akaivute vizuri, amefika geto akakuta sigara imeloana maji haifai,
akaanza kujifikiria jinsi sigara inavyompelekesha akaikanyaga akaitupa akaapa havuti tena na kuanzia hapo akawa ameacha kuvuta,
Kuhusu pombe hiyo siku alipoteza kiasi fulani cha pesa baada ya kulewa ambacho alitakiwa awalipe watu day yao ya kazi hapo nda akamua kuacha na pombe pia
Process ya kuacha aliamua kwanza kua mtu wa swala tano kwaiyo kampani zake za mwanzo zikaanza kumtenga kidogokidogo hapo nae lengo ndo hilo kujitenga na kampani ya ulevi ili asijikute anarudi.
Watu wengi wanataka kuacha ulevi au life style fulani kamari na addiction nyingine ila wanashindwa, ila wakipata storinhalisi kutoka kwa watu waliofanikiwa nao wanaweza kupata kitu,
Je, uliwezaje kuacha kilevi chochote au life style ambayo ilikua haina manufaa kwako ?