john mtulivu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 225
- 241
Mimi nakukubalig sanKujiajiri kuna muda au nafasi yakuweza kufanya hata mengine uliyotaka kuyafanyakuliko kuajiriwa kwani hakuna muda na muda wote unaoutoa kwa mwajiri wako unashindwa fanya mengine hususani ya kifamilia
[emoji81][emoji81]Heh! sio kufungia kabatini, kabati si linafunguka, choma moto kabisa ndio utatoboa
Umejiajiri ktk kitu gani!??..Mi nipo chuo na tayar nimeshajiajiri Sasa iv nakula shumbwela tu hata ikitokea nimemaliza chuo Leo sitowaza kuhusu ajira na Wala sitarudi nyumbani kugombania vipande vya muogo na wadogo zangu....
Ushauli kwa wanachuo: how can I employee my self?? "Change your words" change your Life. Utaona mwenyewe utakavyobadilika kimaisha......
Lastly..kwa wote do the thing to day that your future will thank you for.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee nipe dondoo unafanya biashara gani maana mimi kuna biashara mzee sioni return sijui ndio mwanzo.Mi nipo chuo na tayar nimeshajiajiri Sasa iv nakula shumbwela tu hata ikitokea nimemaliza chuo Leo sitowaza kuhusu ajira na Wala sitarudi nyumbani kugombania vipande vya muogo na wadogo zangu....
Ushauli kwa wanachuo: how can I employee my self?? "Change your words" change your Life. Utaona mwenyewe utakavyobadilika kimaisha......
Lastly..kwa wote do the thing to day that your future will thank you for.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee tuekezee ulipopita nasisi tuje kaa kama hapo mkuu.Wakati nasoma nikiweka akilini vitu viwili.....hakuna bilionea anaelipwa mshahara(wanajiajiri)....na nikakumbuka mimi napenda raha nikakumbuka safari za mama kikazi nikaona kabisa haya maisha ya kumuita mtu bosi ni magumu....,nilipomaliza chuo nikapata kazi ya muda lakini niliishia kuwa mfanyakazi mvivu kuliko wote ndipo nikajitahidi kuiba sana na hatimaye sasa hivi nazunguka tu kitini kahawa pembeni/asante munguView attachment 998393
Habari hii imekaribiana na ukweli. Mimi saiv nmeshafilisika kwa hela kaa hzo. Nilijitahidi sana kuilinda lkn ilipotea. Kwa sasa napambana niinuke tena kwa fedha halali.Kama umeanza biashara kwa pesa ya kuiba trust me hiyo biashara yako haita kuwa endelevu utakumbwa na misukosuko.
Kubali kuajiriwa ila hakikisha kwenye ajira kuna upenyo wa kuiba/na nafasi ya kupiga dili za nje