Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Kuna mchina aliwahi kusema, watz tuna maisha magumu ila anashangaa tunaonekana hatujui kama tuna masiha amgumu na tunafuraha. Mtu akizaliwa na kukulia mazingira fulani, anaona ni kawaida kwa sababu huwezi kumiss au kusumbuliwa na kutokuwepo kwa kitu ambacho hujawahi kuwa nacho.Kijijini watu wana maisha yenye furaha kuliko huko mjini.
🤣🤣 Mtu analala miguu imetoka shamba afu fresh tuYaani vijijini hawajali sijui kuoga kupendeza ....kupaka mafuta yaani wanalalla hivyo hivyo wakiamka safari muziki.....hakuna hata mpangilio wa maisha....watoto wanajilea wenyewe kupika ni majaliwa baadhi ya kaya
Njooni huku tulime acheni kujaza mjini huko na kazi hamna mnaishia kuuza madako.Maisha ya vijijini yanashangaza sana unaweza kujiuliza hawa watu huwa hawapati pesa au shida nini.
Msosi shida, usafiri shida, nyumba shida, maji shida, yaani kila kitu shida. Hii imepelekea what we call suffering ndo imekuwa furaha ya wakazi wengi wa vijijini.
Watu wanaishi tu ili mradi siku ziende hey, wakazi wa vijijini amken mken kumekucha.
Shida ipo kwako wewe ambaye umewaza hivyo lakini watu wengi hawawazi sababu hawana mtu wa kuwavusha bahari ya shamu wakati ww ndo umekimbilia mjini Sasa kijiji Kitatendelea vipi !🫡😂🤣Maisha ya vijijini yanashangaza sana unaweza kujiuliza hawa watu huwa hawapati pesa au shida nini.