Uliye wangu uko wapi mbona hatukutani jamaniiii......!

mjasilia

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
594
Reaction score
172
HAYA TENA MIMI NA JF NA JF NA MIMI, NIEAPA KUPATA MKE WANGU HUMU JAMII FORUM, ILA SASA TATZIZO WANAOJITOKEZA WENGI WAO OVER AGE WANAWAKE WENGI WA HUMU JF WANAOTAKA WANAUME WENGI WAO NI OVER 3Os SHIDA HAPA NI KWAMBA TUTAPATA MATATIZO KATIKA KUAPANGA UZAZI MAANA ITANIBIDI NIENDE KASI KITU AMBACHO KITAVURUGA MIPANGO YA MAENDELEO MAZURI YA WATOTO MAANA KIDS INTERVAL INALETA UTATA SANA, Y NAANDIKA HAPA HII MADA....!
1: KWNZA NATAFUTA MDADA STRONG AND AGRESSIVE KWA MAISHA BUT AGE BELOW 28,
2: USHAURI; DADA ZANGU JITAHIDI KUTAFUTA WENZA KATI YA AGE 20-25 ZAIDI YA HAPO UNAYATAFUTA MAKUBWA
NI HAYO TU, WADADA WALIO TAYARI NI PM, MIMI GRADUATE SIFANYI KAZI NINAFANYA SHUGHULI BINAFSI AGE YANGU 29 ELIMU YAKE AWE ANGALAU FORM 4 BUT MWENYE SHUGHULI YAKE ASIWE GOAL KEEPER Angalizo anatakiwa mmoja mwenye light vision!
 
goal keeper ni mama wa nyumbani asiyejishughulisha na kitu namanisha...!

wanaume tuna dharau sana akina mama! kama hafanyi kazi haolewei? mbn wewe umesema haufanyi kazi ila shughuli zako binafsi? shughuli binafsi si kazi? na inaonekana ulitafuta kazi ukakosa sasa kwa nini utake mwenye kazi? si waweza mkuta hana kazi but in future akapata? uwe na mtazamo wa mbele zaidi usiwe na maono kama ya kuku uwe na Jicho la Tai!
 
Nikupe jicho langu uone warembo humu? wewe unabahatisha mwisho wa siku utakula kitu changu oooh!
 
Utapata mdada mzuri sana wa kuishi nae ila mruhusu afanye biashara asiwe tegemezi
 
ukiendelea hiv hiv baada ya miaka 3 nadhani utampata kijana umekurupuka ndoa yahitaji maandalizi umfahamu vzuri mwanamke
 
Nadhni ujanielewa namnaisha sitaki mama wa nyumbani, lazima awe anajishughuliha na kazi yeyote, namanisha kzi ni kipimo cha utu wa mwanadamu!
 
mi bado nipogo nipogo nitakudanganya bure? why shall i get married anyway?
 
Nadhni ujanielewa namnaisha sitaki mama wa nyumbani, lazima awe anajishughuliha na kazi yeyote, namanisha kzi ni kipimo cha utu wa mwanadamu!

kama hufanyi kazi wewe utaitwa mshenzi sio? anyway nimekuelewa mkuu!
 
umenena kwanza dharau ilopitiliza mama wa nyumbani kumwita goal keeper huo ukeeper unatokana na wapi wakati huyohuyo atafuliwa nguo huyohuyo atapikiwa.kwabahati mbaya hata elimu yake ndogo ningePM ila nahisi yeye ndo atakuwa goal keeper wangu kutokana na majukumu na nafasi yangu ya kazi nikiwa kazini pia na majukumu ya ndani pia. maana kufua nitafua mimi hata chakula ntanunua mimi na watoto ntsomesha mimi,sasa yeye nafasi yake itakuwa kama baba wa famili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…