Uliyempa Gig mimba mungu anakuonaaaa

Haa ha ha...!! Walaa malayaa utawajuaa tuu.. We endelea kujifarijii..

MKUU NDIYO UKWELI HUO WANAWAKE WENGI WANAOJULIKANA KUWA MALAYA NI RAHISI KUWA SALAMA KWA KUWA WANAUME WENGI HUWAOGOPA KUWAINGIA PEKU, LAKINI HILI JAMBO SIYO LA KUKARIRI,AFYA NI MUHIMU.🙄
 
Acheni dhana potofu nyie unaweza kumuona Gift ni malaya kwa sababu anajianika nakufwata na camera kila anapoenda ukasahau kuna dada yako, mchumba wako au hata rafiki yako anafanya mambo ya ajabu na makubwa kushinda ata huyo Gift ila anajificha ndo maana unaambiwa kwenye biblia siku ya mwisho kwa wanaoamini mtastaajabishwa kuona watakatifu wanateketea uliokuwa unaowaamini asilimia 100 kipindi cha ugali wao napia kuhusu suala yeye ni malaya naamini kila mtu ana deserve a chance mfano mzuri juzi kati hapa kwa wanaomjua Card B malaya wa kutupwa aliyeshindikana Gift akasome mbona kavalishwa pete na Migos mwenye mabilioni yake ya pesa tena sio ya kubaatisha but ni upends wa kweli tu , unachookiona mavi mwenzako nzi anakiona dhahabu tuache dhana potofu baadhi ya watanzania kwa ku judge mtu maisha yake yote na kumsahau dada yako au mchumba wako ambapo ukikaa kumuangalia kwa jicho la tatu ni zaidi ya Gift ila ajulikani tu
NB ; Baadhi ya watu sio wote na pia haya ni mawazo yangu tu.
 
Ni maamuzi tu gig kaona ndio muda wake muafaka kuitwa mama...ni maamuzi magumu kwa muwekaji ijapo waliopita huenda walitumia mipira au gig alitumia viharibu mimba...au Hawakuwa na bahati nae.. kila LA kher huenda ukawa ndio mwanzo wa kutulia ile ya prezoo cjui iliishiria wapi au ndio mwekaji
 
Hii inaitwa ni uthubutu.....kuna watu wamejaaliwa uthubutu
 
Bora aliyezaa na malaya maana inawezekana alichukua tahadhari zote kabla ya kuamua kuloweka kuliko unayemwamini msichana kirahisi kwa kumuangalia tu kisha ukaloweka halafu unakuja kugundua ana mdudu baada ya kwenda kiliniki na kulazimishwa kupima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…