Uliyempa Gig mimba mungu anakuonaaaa

Ila huyu dada knows how to have a private life..kama sio basata hakuna ambae angekujua ni mama kijacho..tusijudge sana watu kwa kuwaona kwny tv na social network may be she has self respect despite kuonekana anaongea sana..napenda vile anajiamini na kujua kujieleza
 
hakuna kitu kinauma kama kuzaa na malaya, yaani mtaani wote wanakunyooshea kidole mbaya zaidi unafahamu watu 60 walishapiga ila unaonekana ww tu ndo una akili za kindezi kumwagiamo
Hakuna heshima kama Malaya kukubali kukuzalia...maana anakosa Dili kwa miezi 18
 
Huyo ni Malaya kama Malaya wengine
 
kuna kausemi kana sema wewe utazama hivi wenzako wanatazama hivi,ili hiwe dunia na walimwengu lazima tuwe tofauti kimawazo na kiakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…