Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
siwezi bisha lakini...kuna jamaaa alikua mtu wa dini sana alioa malaya aliekua kashindikana pale kitaaa kutokana na yule jamaaa kumjali na kumtunza yule dem alizaa na jamaa watoto watatu na dem alikua ametulia mpaka navo kuambia wamejenga kitunda na mtoto wao wa kwanza yupo form2 ....hao ndo walio nipa fundisho aisee .Hakuna malaya yeyote anayeoenda kufanya kazi ile amin nakuambia tafuta malaya yeyote muulize kiistaraaabu tu kwa nn anapenda hiyo kazi....
60 kwa wiki au tangu azaliwe?hakuna kitu kinauma kama kuzaa na malaya, yaani mtaani wote wanakunyooshea kidole mbaya zaidi unafahamu watu 60 walishapiga ila unaonekana ww tu ndo una akili za kindezi kumwagiamo
Yupo Bwana Mdogo mmoja anajiita wakili msomi ,kwa sasa kahamia CCM...Huyo jamaa ana ujasiri wa kujifunga mabom na kujilipua kama alshabab
Mmmmh!!Matambala yale
Anapenda attention kinoma
Hahaha best vipi?Mmmmh!!
AhahahahaJamaa anaitwa "mo j" mtangazaji wa choice FM aisee ni mwanaume mwenye roho ngumu kuliko wanaume wote duniani!
NB: Sina uhakika kama mimba ni yake
Yule aliyekuwa anachezea papuchi mtandaoni?Yupo Bwana Mdogo mmoja anajiita wakili msomi ,kwa sasa kahamia CCM...
Njoo sinza nikuonyeshe Malaya waliozaliwa kama Malaya na hawawezi kuacha kwa vyovyote vilesiwezi bisha lakini...kuna jamaaa alikua mtu wa dini sana alioa malaya aliekua kashindikana pale kitaaa kutokana na yule jamaaa kumjali na kumtunza yule dem alizaa na jamaa watoto watatu na dem alikua ametulia mpaka navo kuambia wamejenga kitunda na mtoto wao wa kwanza yupo form2 ....hao ndo walio nipa fundisho aisee .Hakuna malaya yeyote anayeoenda kufanya kazi ile amin nakuambia tafuta malaya yeyote muulize kiistaraaabu tu kwa nn anapenda hiyo kazi....