Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Hayo si maneno ya busara toka kichwani kwangu bali toka kwa mwanamuziki Hayati Lucky Philip Dube.
Anasema "Inaonekana kama vile kila kitu kilitokea jana tu" anaendelea kusema "Machozi hayawezi kuleta furaha bali furaha inaweza kuleta machozi"
Hapa anamaanisha nini? Kulia sababu ya jambo lolote hakuwezi kukuletea furaha lakini unaweza kufurahi ukajikuta unatoa machozi yatokanayo na furaha.
Anaendelea kusema "piga kelele ulimwengu usikie, sema Haloo, Haloo furaha, Mungu ahsante kwa siku nyingine"
Anasema "Nilishafanya makosa hapo mwanzo, nimelipa gharama ya makosa yangu, Vitu kwenye kioo cha kuona/kutazamia nyuma vinaonekana vipo karibu kuliko uhalisia"
Namimi nakazia maneno yake kwa kusema, Ndugu sahau matatizo uliyopitia kwa maana hayo mabaya uliyopitia kwa sasa yapo mbali nyuma ya maisha yako ya furaha ya sasa.
Sema "Ewe Mungu, Ahsante kwa kunipatia nafasi nyingine"
"Hakuna mustakabali wa baadae kwa nyakati zilizopita" kwa kizungu anasema "There is no future in the past".
Huu ni ujumbe mahususi kwa wale wote wanaopitia au waliopitia mitihani migumu ya maisha na majaribu mbalimbali.
Mahususi kwa wale wanaodhani walifanya kosa kwenye mambo mbalimbali kama mambo ya elimu, kujiingiza kwenye tabia unayodhani ni mbaya, kufanya chaguo baya kwenye elimu, kazi na mahusiano n.k.
Mahususi kwa wale waliokosa kutimiza ndoto zao za kimaisha, kisiasa au kibiashara na mengineyo.
"Ding Ding Licky Licky Bong"
It seems like it only happened yesterday
Now that I think about it
Tears cannot bring you joy
But joy can bring you tears
Even though I cry today
I will not hide it
It is for a different reason - joy
That is why I'll shout it out
For the world to hear
I say hello, hello happiness
Oh Jah, thank you
For another day, I say
[Chorus:]
Ding ding licky licky licky bong [x3]
Another tear drop falls
But I don't care
I took a wrong turn in life before
But I've paid my dues
Objects in the rear view mirror
They appear closer than they are
If you don't talk the talk
Don't walk the walk
If you won't please, don't tease
Another lesson learned
I'm gonna shout it out again
Hello, hello happiness
Oh God, thank you
For another chance
There is no future in the past
So shout it out...