Uliza chochote kinacho mambo ya ( rohoni ) hasa upande wa giza ( Ufalme wa giza )

National Anthem

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2022
Posts
19,177
Reaction score
56,121
Mzuka!
N:B.. Kama upo msomi, wa kishua sana, uzungu mwingi na huamini mambo ya rohoni hatuna haja ya kusumbuana sana mazee.. piga kimya kimya.. pia mie sio muandishi mzuli..

Maeneo ambayo naweza yajibia vizuri kwa ufasaha... kutokana na uzoefu wangu wa zaidi ya miaka mitano..
  • Ulimwengu wa nyota ( na athari zake katika faida na hasara inapo chezewa au inapotunzwa )
  • viumbe wa baharini, angani, kwenye majabari, misituni, roho mbaya, pepo wabaya n.k na kwanini wanaishi huko

  • athari za ngono ( hatari iliyopo katika kufanya mapenzi ovyo ovyo na faida zake kufanya kwa usahihi )
  • chimbuko la uchawi na madaraja yake ( namna wanavyopata nguvu na wanavyopoteza nguvu namna wanavyo taabisha maisha ya watu na hatma zao)
  • jicho la tatu
  • nguvu iliyomo katika maji, ardhi etc.
  • ulimwengu wa ndoto na athari zake na madaraja ya ndoto
  • makafara aina mbali mbali na matokeo yake ( kwanini damu ni hatari kuliko yote )
  • kusafiri na kuhamishwa
  • vifo vya kichawi na nini hutokea mtu anapokufa kichawi
Na mambo mengine yoyote ambayo mtataka kujua kuhusu hayo mambo ya upande wa giza, nipo hapa kujibu swali moja hadi jingine.. nitakuwa najibu kwa ufupi tu.. na kueleweka..
 
Sawa kabla sijauliza swali ebu nambie ume experience hayo mambo ukiwa kama nani labda mganga,mchawi,shehe au mtumishi
 
Mimi nikilala na mgongo lazima niote vitu vya hovyo hovyo au mara nihisi kunyongwa tatizo linakuwa ni nini ?
 
  • Ulimwengu wa nyota ( na athari zake katika faida na hasara inapo chezewa au inapotunzwa )

swali: unajuaje kama nyota imechezewa na unaikomboa vipi endapo kama imechezewa vilivyoo

National Anthem
 
  • Ulimwengu wa nyota ( na athari zake katika faida na hasara inapo chezewa au inapotunzwa )
  • swali nimekuwa nikitafuta sana nakuwa nakosa bahati(sina bahati) sana kwenye mambo mengi hili limejitokeza nikiwa nimeanza kuzisaka je hili linaweza kuwa sababu?
  • kukupa mwanga kidogo nliwahi enda sehemu mara 2 tofauti nliishiwa kuambiwa mpaka sasa ungetakiwa uwe tajiri na biashara za kutosha na huwa wanashangaa kabisa ile ya kuhamaki. NB sehemu zote hawafahaniani kabisa.
National Anthem
 
Naomba kujua madhara ya kusafisha nyota au kuunga vitu viwili kama wapenzi wawili kwa nyota zao kupatana. Au kutafuta pesa kwa kufuata nyota yako, yaani leo j5 ya mwezi gani na nyota gani ipo na nifanye nini na nini nisifanye.
 
Tuanze na hili national usiku wa kuamkia jana na leo nimeota ndoto zenye mfanano kiasi, nalea mtoto asie wangu km kunyonyesha, kumuweka mgongoni huku nikiendelea na majukumu yangu, ina maana gani hii?
 
Mkuu nataka kujua madhara ya kufanya ngono hovyo hovyo (umalaya)
 
We mbona hujibu, unaanzisha Uzi afu hujibu
 
Mzuka!
N:B.. Kama upo msomi, wa kishua sana, uzungu mwingi na huamini mambo ya rohoni hatuna haja ya kusumbuana sana mazee.. piga kimya kimya.. pia mie sio muandishi mzuli..

Maeneo ambayo naweza yajibia vizuri kwa ufasaha... kutokana na uzoefu wangu wa zaidi ya miaka mitano..
  • Ulimwengu wa nyota ( na athari zake katika faida na hasara inapo chezewa au inapotunzwa )
  • viumbe wa baharini, angani, kwenye majabari, misituni, roho mbaya, pepo wabaya n.k na kwanini wanaishi huko

  • athari za ngono ( hatari iliyopo katika kufanya mapenzi ovyo ovyo na faida zake kufanya kwa usahihi )
  • chimbuko la uchawi na madaraja yake ( namna wanavyopata nguvu na wanavyopoteza nguvu namna wanavyo taabisha maisha ya watu na hatma zao)
  • jicho la tatu
  • nguvu iliyomo katika maji, ardhi etc.
  • ulimwengu wa ndoto na athari zake na madaraja ya ndoto
  • makafara aina mbali mbali na matokeo yake ( kwanini damu ni hatari kuliko yote )
  • kusafiri na kuhamishwa
  • vifo vya kichawi na nini hutokea mtu anapokufa kichawi
Na mambo mengine yoyote ambayo mtataka kujua kuhusu hayo mambo ya upande wa giza, nipo hapa kujibu swali moja hadi jingine.. nitakuwa najibu kwa ufupi tu.. na kueleweka..
Kusafiri na kuhamishwa!! INAKUAJE!!?
 
Back
Top Bottom