joneschris
New Member
- Jan 14, 2022
- 1
- 1
Project management (Usimamizi wa miradi) ni matumizi ya ujuzi maalum(skills) na zana(tools) ili kufanikisha malengo kwenye muda uliopangwa.
Ujuzi wa Project management unakusaidia kuboresha mchakato wako katika mambo kama vile ujenzi wa majengo, juhudi za misaada, upanuzi wa mauzo katika soko jipya la kijiografia, n.k.
Kwenye huu uzi, Uliza kitu chochote kuhusu Usimamizi wa Miradi (Project Management), nitakujibu au mwingine yeyote anaweza kukujibu.