Uliza chochote kuhusu spare za magari

Uliza chochote kuhusu spare za magari

Ibnuyawar

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
49
Reaction score
155
Habari ! Wana Jf Leo nimewaletea Uzi kuhusu Spare za magari Unamiliki Gari na gari yako ina changamoto ya aina yoyote Uliza bure na unapewa ushauri bure

TAHADHARI [emoji91]
Ewe mmiliki wa gari Kuwa makini na gari yako unampa fundi gani Kuna sakata La kuibiwa MASEGA Kipindi hiki gari inakosa nguvu, ina misfire ya kupitiliza Masega Wana Jf tuwe makini

Natoa Huduma ya spare Na pia natoa ushauri kwa wamiliki wa gari huna mda wa kusimamia gari lako nipe kazi hyo mimi kabla ya kunipa tunakagua baada ya kumaliza kutengenezwa unakagua gari yako unaruhusiwa Kwenda

Masega mapya yanapatikana Za gari ndogo bei Ni 150,000 Ambayo hayo hayo watu wengne wanauza mpak 200,000 au 180,000

Napenda kutoa huduma Ili Kusaidia watu Waepukane na matatizo kama hayo Na sio unashida nizidi kukudidimiza

Na pia dukani zipo spare za Gari Tofauti za kijapani ikiwemo HONDA, TOYOTA, SUZUKI, SUBARU,NISSAN,MAZDA,MITSUBISHI,DAIHATSU NA BAADHI YA SPARE ZA FORD

Unaruhusiwa Linganisha bei yangu na duka unalonunua nakuhakikishia bei nzuri na kitu bora

[emoji338]0653527433/0789961893
[emoji625]ilala shaurimoyo/lindi near machinga complex
[emoji597] inafanyika
 
Shockup za mbele IST ya 2002 Model NCP65000 napata kwa shingapi ?
 
hata mm nahitaji hizi mbele na nyuma.

pia nahitaji bampa la.mbele la IST
na hitaji pia ile gadi ya chini kuzia maji yasi ingie kwa injini

gadi ya tairi
Linalotumia fogo 520,000 la kawaida 430,000
 
Habari ! Wana Jf Leo nimewaletea Uzi kuhusu Spare za magari Unamiliki Gari na gari yako ina changamoto ya aina yoyote Uliza bure na unapewa ushauri bure

TAHADHARI [emoji91]
Ewe mmiliki wa gari Kuwa makini na gari yako unampa fundi gani Kuna sakata La kuibiwa MASEGA Kipindi hiki gari inakosa nguvu, ina misfire ya kupitiliza Masega Wana Jf tuwe makini

Natoa Huduma ya spare Na pia natoa ushauri kwa wamiliki wa gari huna mda wa kusimamia gari lako nipe kazi hyo mimi kabla ya kunipa tunakagua baada ya kumaliza kutengenezwa unakagua gari yako unaruhusiwa Kwenda

Masega mapya yanapatikana Za gari ndogo bei Ni 150,000 Ambayo hayo hayo watu wengne wanauza mpak 200,000 au 180,000

Napenda kutoa huduma Ili Kusaidia watu Waepukane na matatizo kama hayo Na sio unashida nizidi kukudidimiza

Na pia dukani zipo spare za Gari Tofauti za kijapani ikiwemo HONDA, TOYOTA, SUZUKI, SUBARU,NISSAN,MAZDA,MITSUBISHI,DAIHATSU NA BAADHI YA SPARE ZA FORD

Unaruhusiwa Linganisha bei yangu na duka unalonunua nakuhakikishia bei nzuri na kitu bora

[emoji338]0653527433/0789961893
[emoji625]ilala shaurimoyo/lindi near machinga complex
[emoji597] inafanyika
SPARE zenu za Dubai za kuchakachua tunanunua moja kwa moja Japan siku hizi labda washamba wasiojua mispare mibovu ya ilala.
Nimenunua spare malanyingi ilala ni mbovu Geabox mbovu za dubai Engine mbovu mkifika hapo ilala maweka ring za kichina block mnapeleka Engineeling pia nyie niwezi na bei zenu ziko juu sana
 
Boss Bahat nzuri am not dealing with used spare parts nadili na spare mpya Kwaio siwez kujudge kama ni kweli hvo vitu vinafanyika Au Laa kwa sababu sio mtaalamu na sijawah kuuza used Ila Nafanya kazi na watu wa used ambao nawaamin
 
Ok hii inawahusu used parts only
 
Kibuyu cha masega... Toyota ist ncp61 2002. Bei gani?
 
Ila kama unataka genuine cha toyota nikuskilizie kwa jamaa yangu ila bei itakuwa imechangamka

Yeah, nahitaji catalytic converter genuine by Toyota (mtumba).

Inasemekana vibuyu-masega vipya (china) siyo vizuri, havifanyi kazi vile inatakiwa, na wanasema havidumu.
 
Mtumba Boss wangu sina uhakika nazo
 
Nahitaji bearing za ist, noah, vitz, alpphard na Rav 4 bei gani?
 
Back
Top Bottom