Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
✓Yeah kwa hapa Tanzania minada mikubwa ipo Dar es salaam hasa pugu pamoja na vingunguti, lakini pia kwa dodoma kidogo hasa mbande-kongwa.Minada ya mbuzi inapatikana wapi na vipi changamoto za usafirishaji na unenepeshaji kwa ajili ya biashara.
✓Yeah ninkweli kabisa baadhi ya mazao hayaendani na maji ya chumvi hasa nyanya, na nzuri zaidi Kama unafuatiliaga wanaofanya kilimo Cha horticulture wengi wana fanyiaga kwenye mabonde na hayo huwaga wanaotumia maji ambayo so ya chumvi na mazao huwa mazuri sana.Asante , Mkuu last time nimeandaa kitalu cha miche ya Nyanya chungu wengine waita "Ngongwe" miche ilitoka vizuri ila baada ya muda ikaanza kunyauka yenyewe na maji nlikua namwagilia vizuri tu !! Nikaandaa tena ila matokeo yakawa yaleyale. Baadhi ya watu wakasema kwamba huenda maji ya chumvi yana impact mbaya !! Je ni kweli kuna baadhi ya mazao hayaendani na maji ya chumvi au ? Baadhi ya mazao yanaenda vizuri tu ! Bamia , Hoho, Bilinganya , na Nyanya !!
Hujatoa juu ya njia sahihi ya kunenepesha Mbuzi, aina ya vyakula na uwalishaje na nikwamuda gani, ili wafikie kilo ngapi kwa Mbuzi jike ua Dume✓Yeah kwa hapa Tanzania minada mikubwa ipo Dar es salaam hasa pugu pamoja na vingunguti, lakini pia kwa dodoma kidogo hasa mbande-kongwa.
✓Changamoto zipo lakini inatokana na uhitaji wako Kama ni wakufuga tu au kunenepesha, maana Kuna sifa zinazohitajika kujua Kama mbuzi huyu ni wakunenepesha au laaah, na hapo ndo watu wengi wanakosa elimu ya kujua ni Aina gani wa mbuzi anahitajika kunenepeshwa.
✓Changamoto ya usafirishaji ni hasa kupata magari kwa wakati na umbali pia ni changamoto sana hasa kwa mbuzi wa kunenepeshwa maana uchangia wawe stressed na kupoteza uzito unaotakiwa ili waweze kunenepeshwa.
~kigoma.
Inategemeana na Aina ya Banda na eneo la malisho, maana Kama utatumia zero grazing(kuwalishia ndani) mbuzi watapungua na kama utakuwa una waswaga mbuzi(kuwalishia nje) wataongezeka, kwa hiyo sema unafugia kwa njia gani ili uweze kuwanenepesha, ndo tupate jibu lako.Habari kiongozi, aomba kujua idadi ya mbuzi wanaoweza kuingia kwenye eneo la heka tatu(mbuzi wa kunenepesha)
Kigoma, Pwani na Dar es salaam.Mtoa mada unapatikana mkoa gani, na unafuga Mbuzi wa aina gani.?
Hajaniuliza swali hilo, so nime mjibu kutokana na alivyouliza sawa.Hujatoa juu ya njia sahihi ya kunenepesha Mbuzi, aina ya vyakula na uwalishaje na nikwamuda gani, ili wafikie kilo ngapi kwa Mbuzi jike ua Dume
✓Njia sahihi ya kunenepesha mbuzi.Hujatoa juu ya njia sahihi ya kunenepesha Mbuzi, aina ya vyakula na uwalishaje na nikwamuda gani, ili wafikie kilo ngapi kwa Mbuzi jike ua Dume
Mkuu tueleze hizo sifa zinazopaswa kujua kama mbuzi anafaa kunenepeshw✓Yeah kwa hapa Tanzania minada mikubwa ipo Dar es salaam hasa pugu pamoja na vingunguti, lakini pia kwa dodoma kidogo hasa mbande-kongwa.
✓Changamoto zipo lakini inatokana na uhitaji wako Kama ni wakufuga tu au kunenepesha, maana Kuna sifa zinazohitajika kujua Kama mbuzi huyu ni wakunenepesha au laaah, na hapo ndo watu wengi wanakosa elimu ya kujua ni Aina gani wa mbuzi anahitajika kunenepeshwa.
✓Changamoto ya usafirishaji ni hasa kupata magari kwa wakati na umbali pia ni changamoto sana hasa kwa mbuzi wa kunenepeshwa maana uchangia wawe stressed na kupoteza uzito unaotakiwa ili waweze kunenepeshwa.
~kigoma.
✓sifa za mbuzi wa kunenepesha.Mkuu tueleze hizo sifa zinazopaswa kujua kama mbuzi anafaa kunenepeshw
Shukrani mkuu hivi gharama za mbuzi kwa ajili ya kunenepesha minadani bei gani✓sifa za mbuzi wa kunenepesha.
°Umri(mwaka 1-1.5)
°Awe dume(kuliko majike)
°Awe hajadumaa(mgongo Mpana,kiuno kikubwa na umbile/umbo kubwa)
°Afya nzuri.
45 mpaka 50 elfu.Shukrani mkuu hivi gharama za mbuzi kwa ajili ya kunenepesha minadani bei gani
Yeah ni sawa tu kaka 12kgKitaalamu inashauliwa kila mbuzi alishwe 1/3 ya uzito wake(kwa mfano Kama mbuzi Ana 40kg inatakiwa alishwe 4kg*1/3 ya uzito wake.
Boss hapa kwa hesabu yako mbuzi anakula kilo 12