wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,143
Ndugu upo Dar sehemu gani? ufugaji wako unaufanyia kigoma au Dar. Kama hauto jali ningeomba tutembelane kwenye mashamba yetu ya ufugaji mimi nipo Dar kibamba ninaufugaji wa Mbuzi na nahitaji baadhi ya mbegu kutoka Kigoma kunawale wa mgongo mpana wazaao mapacha nawahitaji 4.Kigoma, Pwani na Dar es salaam.
Shukrani kwa maelezo mazuri,ningelipenda kujua ni vitu gani ambavyo vinaweza kusaidia kutambua kuwa huyu ni wa ukoo wa mapacha,mfano kwa jike ambaye hana watoto wakati wa kumununua,asanteMbuzi kuzaa mapacha au 3 inategemeana na ukoo aliotokea, mara nyingi huwa watu wanataka Mbuzi wanao zaa mapacha lakini kuna baadhi ya wafugaji wasio waaminifu huwapatia wenzao Mbuzi asie zaa mapacha mwisho huyo anaetaka kuanza ufugaji hapati matokeo yanayo stahili.
Nakushauri ukihitaji mbuzi wa mapacha fanya utafiti wa kizazi na kuwaangalia kwa umakini maana kuna baadhi ya vitu vya ambavyo vitakusaidia kumtambua Mbuzi azaae mapacha.
Sawa napenda kujua anafuga tu kizamani au anafuga kisasa(kunenepeshwa)...?Mkuu kuna mdogo angu anataka kuanza kufuga kapata aina ya zile mbuzi zinazo zaa mapacha ajawai ata kufuga kaanza na watano ni vitu gani vya kuzingatia mkuu ushauri tafadhari na madawa yapi ya kutumia
Hii hasa huwa ni Ukoo wa mbuzi na Aina ya mbegu wa mbuzi husikaMkuu naomba kujua kuhusiana na suala la mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii ni ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
Hiyo nikutokana na Ukoo pamoja na aina ya mbegu wa mbuzi husika.Mkuu naomba kujua kuhusiana na mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii hutegemea ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
Asante sana naona umemaliza kila kitu.Mbuzi kuzaa mapacha au 3 inategemeana na ukoo aliotokea, mara nyingi huwa watu wanataka Mbuzi wanao zaa mapacha lakini kuna baadhi ya wafugaji wasio waaminifu huwapatia wenzao Mbuzi asie zaa mapacha mwisho huyo anaetaka kuanza ufugaji hapati matokeo yanayo stahili.
Nakushauri ukihitaji mbuzi wa mapacha fanya utafiti wa kizazi na kuwaangalia kwa umakini maana kuna baadhi ya vitu vya ambavyo vitakusaidia kumtambua Mbuzi azaae mapacha.
DodomaMkuu eneo la mbeya au dodoma wapi panafaa kufuga mbuzi kitokana na hali ya hewa
Kwa Mbuzi wa maziwa Mby,Iringa,Moro, Moshi kunafaa sana maana hawapatani sana na joto na wana penda sana kufugwa kwa mtindo wa zero grazing. kwa mbuzi wa nyama Dodoma kuna faa, ila cha msingi kwanza ujuwe unataka kufuga mbuzi wa aina gani na ufanye utafiti wa mbegu zilizo bora kwa mahitaji na eneo husika, Mimi nimejaribu wamaziwa kwa Dar kidogo ni changamito hasa wakati wa jua kali.Mkuu eneo la mbeya au dodoma wapi panafaa kufuga mbuzi kitokana na hali ya hewa
Kwanza kabisa unataka kufuga kwa njia ipi, free zone au Zero grazing? Na ujuwe unataka kufuga Mbuzi gani wa Maziwa au Wanyama? ukisha jua aina na mfumo wa ufugaji unaoutaka ndipo utafiti kiwango cha eneo linalo kutosha kufugia, Mf Mimi nafuga kwa free zone kuwachunga wamaziwa wameshindwa kuendana na mfumo huo wa kuwachunga kwa hiyo nimebakia na hawa wa nyama peke yake na sasa nataka kuweka mbegu ya Isiolo kwaajili ya nyama na nitawa cross na hawa wakienyeji.Mfano nikawa na mbuzi 50 niahitaji kua na shamba la ukubwa gan?
Shukrani bossKwa Mbuzi wa maziwa Mby,Iringa,Moro, Moshi kunafaa sana maana hawapatani sana na joto na wana penda sana kufugwa kwa mtindo wa zero grazing. kwa mbuzi wa nyama Dodoma kuna faa, ila cha msingi kwanza ujuwe unataka kufuga mbuzi wa aina gani na ufanye utafiti wa mbegu zilizo bora kwa mahitaji na eneo husika, Mimi nimejaribu wamaziwa kwa Dar kidogo ni changamito hasa wakati wa jua kali.
Mkuu mbegu ya Isiolo inapatikana wapiKwanza kabisa unataka kufuga kwa njia ipi, free zone au Zero grazing? Na ujuwe unataka kufuga Mbuzi gani wa Maziwa au Wanyama? ukisha jua aina na mfumo wa ufugaji unaoutaka ndipo utafiti kiwango cha eneo linalo kutosha kufugia, Mf Mimi nafuga kwa free zone kuwachunga wamaziwa wameshindwa kuendana na mfumo huo wa kuwachunga kwa hiyo nimebakia na hawa wa nyama peke yake na sasa nataka kuweka mbegu ya Isiolo kwaajili ya nyama na nitawa cross na hawa wakienyeji.
Arusha ndugu tena hapa nafanya juhudi mwisho wa mwezi wa mwezi nikabebe mbegu.Mkuu mbegu ya Isiolo inapatikana wapi
Naomba unipe address wanapatikana wapi Arusha niwafuate. Maana Nina mpango kwenda kuchukua wale kondoo wenye mikia mikubwa Lake Natron ambao wanatoka Narok Kenya. Kama unahofu ya ku share address ,nitumie inbox plz. Na wanauzwaje.Arusha ndugu tena hapa nafanya juhudi mwisho wa mwezi wa mwezi nikabebe mbegu.
Naomba kujua ratio ya idadi ya Mbuzi per square meter. Mf nikiwa na BANDA la 100 sqm ..... kwa Mbuzi wa kienyeji naweza fuga wangapi?✓Yeah kwa hapa Tanzania minada mikubwa ipo Dar es salaam hasa pugu pamoja na vingunguti, lakini pia kwa dodoma kidogo hasa mbande-kongwa.
✓Changamoto zipo lakini inatokana na uhitaji wako Kama ni wakufuga tu au kunenepesha, maana Kuna sifa zinazohitajika kujua Kama mbuzi huyu ni wakunenepesha au laaah, na hapo ndo watu wengi wanakosa elimu ya kujua ni Aina gani wa mbuzi anahitajika kunenepeshwa.
✓Changamoto ya usafirishaji ni hasa kupata magari kwa wakati na umbali pia ni changamoto sana hasa kwa mbuzi wa kunenepeshwa maana uchangia wawe stressed na kupoteza uzito unaotakiwa ili waweze kunenepeshwa.
~kigoma.
Kule Arusha tunakwenda kwa wafugaji wa Masai ndugu basi ndipo unaweza pata mbuzi wa kweli ukipita kwaNaomba unipe address wanapatikana wapi Arusha niwafuate. Maana Nina mpango kwenda kuchukua wale kondoo wenye mikia mikubwa Lake Natron ambao wanatoka Narok Kenya. Kama unahofu ya ku share address ,nitumie inbox plz. Na wanauzwaje.