Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

comesucces

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
160
Reaction score
105
Hi
Nimeona vema sana kuanzisha uzi huu baada ya kuona watu wengi wamepoteza shauku la kuishi hii ni kwa sababu ya kushindwa kupata majibu kamili ya kile anachokihitaji hivyo tunaamini humu ndani kuna wataalamu wa kila sekta ikiwemo masuala ya uchumu,siasa,imani,mapenzi,afya,na masuala yanayofanana na hayo hivyo unaweza kuuliza swali au kujibu swali la kile unachokifahamu na inshaallah utabarikiwa!
 
Wewe ni mbobezi kwenye sekta ipi nikutandike swali hahaha
 
Je Magufuli ana njozi ipi kuhusu Tanzania?
Maana kila kitu anafanya kile cha Nyerere alichokuwa anafikiria
 
Mi Mjasiriamali uliza nitakusaidia ikiwezekana ikishindikana watajibu wenzangu no body is perfect
Nipe tofauti kati ya mfanyabiashara na mjasiriamali?? Je wajasiriamali wote ni wafanyabiashara au wafanyabiashara wote ni wajasiriamali au yote sawa??
 
Adam nani alimfundisha kumgegeda Eve..
Alilijuaje tundu kua ni mbele badala ya nyuma?
Ni kweli utamu wa kugegeda umebaki asilimia 2%.
Kwanini Asilimia ziwe mia tu na nn maana ya Asilimia?

-Mond-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…