Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

Kwanini mtu akiona vitu vya ugwadu hujawa na mate mdomoni mfano?akiona embe mbichi,bungo,ukwaju n.k
 
Shanga wanazovaa akina dada kiunoni na sehemu nyingine huwa zinatengenezwa wapi?

Kuna viwanda vya kutengeza shanga?

Kuna jamaa anadai shanga huwa zinatoka baharini(kwa Majini) je kuna ukweli katika hili?

Mwenye kujua anijuze tafadhali
Shanga natengeneza mimi hapa uliza chochote kuhusu shanga utajibiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti dawa za kupunguza makali ya HIV/AIDS nikizitumia kwa miaka mingi na kula msosi vzuri na kuacha uzinzi na ulevi je, virus vya maambukiz vitakufa kabisa?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je nikiuliza najibiwa baada ya muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…