Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

kuna kitu sikijui,anayekijua aniambie
 
Imani ni nini
ni hali ya kuamini kitu kitendo au hali fulani ambayo umeaminishwa eidha kwa kujifunza kuona ama kufanya kwa muda mrefu au mfupi nawe ukakisimamia kwa sheria zake na miiko yake na kwa kuindeleza kwa kuwafundisha wengne na kukifanya katika maisha yako eidha yote au nusu ama robo nk
 
Kitu gani cha muhimu zaidi kukifanya duniani
 
Ningependa kufahamu maana ya kutakatisha fedha
kuchukua pesa ambayo umeipata kwa njia isiyo halali na kuiingiza kwenye mfumo kama pesa halali..
mfano:unamiliki hoteli na una biashara ya sembe ,pesa ya sembe unaiingiza kwenye hoteli kama faida,,hapo utakuwa umetakatisha fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…