Uliza chochote usichokijua na anayekijua atakujibu

Kwa nini akili za Watanzania wengi zinawaza tu mapenzi na 'kugegedana' ?

Je, unafikiri kwa mwendo huu tutaendelea kweli na kujikomboa na umaskini?
 
No ' they don't choose yo be gay but they choose to practise gaysm'
do u know that many ppl ar born that way??
they ddnt know until one day they realize that ar different.
 
Kwa nini akili za Watanzania wengi zinawaza tu mapenzi na 'kugegedana' ?

Je, unafikiri kwa mwendo huu tutaendelea kweli na kujikomboa na umaskini?
Mapenzi yana Run duniaaaaaaaaaa
 
Hivi kesi za uhaini ndo kesi za aina gani? Na je bado zipo hapa Tanzania na je sheria zetu zinasemaje juu ya kesi hizo?
 
Ninaowajua mm ni raic wa Manzese, raic wa masharobaro,rwic wa wasafi na wengn watanisaidia wajuvi wa mambo zaid
Raisi wa TFF, wa vyma vya wfnykazi, serikali za vyuo vikuu (TAHLISO), TLS, nk..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…