Katika makosa ambayo yatafanywa na Tanzania ni pamoja na kujaribu au kuondoa majeshi DRC. Hapa sisi watanzania tunaishi hapa GOMA imekuwa ni shangwe na ndelemo kutokana na mafanikio ya JWTZ. Sijui huko nyumbani mtachukuiaje lakini ukweli tupo juu. Hwa jamaa zetu wa Rwanda tupo nao wengi sana hapa nao hawaamini yanayoendelea chini ya JWTZ.
Kwanini Zimbabwe, Angola na Namibia walishindwa kuwazima hawa Banyamulenge?
Wacongo wanasemaje kuhusu nchi nyingtine za Africa ambazo zimewahi kuwasaidia ?
Huyo afisa aliyefairki ni mwingine tofauti na yule wa miezi iliyopita? au ndiyo yule yule? tunaambiwa kuwa jeshi letu linalinda amani tu haliko front kuna ukweli?
Nasikia amani ya kweli haiwezi kupatakana bila paul Kgame kutolewa madarakani, na hii vita itaishia ilikoanzia yaana Rwanda. tunataka kumtia adabu huyu rais mwenye damu za watu na anayetishia kumuaa rais wetu,
tunafikir vita hii mwisho wake ni kigari unasemaje?
Tunashukuru kwa taarifa kwa sababu baba na kaka zetu wapo huko, inshallah MUNGU atawasaidia.
Naomba kujua hivi JWTZ imeingia vitani kuwasaidia FARDC au wao wametulia tu kama walinzi wa amani? Je ni miji gani amabyo inakaliwa kwa ukamilifu mpaka sasa na M23?
Sawasawa, kwanini hawakuweza kuwa-push back miaka hiyo?Zimbabwe, Angola na Namibia walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kwani kama isingekuwa wao, huenda leo hii Kabila asingekuwa Rais. Ni wao ndiyo walioyazuia majeshi ya hao jamaa zetu katika eneo la Kisangani wakijiandaa kuichukua Kinshasa. Walifanya kazi kubwa ambayo ndiyo iliyosababisha UN ikaanzisha mazungumzo ya kumaliza mgogoro. Kuna kiti kinaitwa KONGO KUU YA DRC.
Walipenda sana badala ya Malawi ingekuja ZIMBABWE na Angola kwani waliwasaidia sana kama nilivyoeleza.
Ndugu zanguni hasa Watanzania,
Mimi ni mtanzania ninafanya biashara zangu huku DRC Goma kwa muda mrefu. Ninaishi hapa GOMA na nimekuwa nikisafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani ya DRC.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala kuhusu mgogoro wa M23 na serikali ya DRC, nimegundua watu wengi hawapo informed on what is going on.
Sasa kwa wale wenye swali au chochote wanachotaka kujua kuhusu mgogoro huu, mapigano yanayoendelea, na ushiriki na mapokeo ya WaKongo kuhusu JWTZ, mnaweza kuniuliza.
Nipo hapa kwa karibu miaka kumi na mbili sasa, bila sahaka nina kitu kipya ambacho huenda ninaweza kuwahabarisha.
Umenena vyema kuwa wewe ni mtanzania ambaye umelowea Goma. Inaonekana huna habari na amri ya JWTZ kuwa sisi wananchi haturuhusiwi kuongelea masuala ya vita ya huko Congo mpaka kwa kibali chao. Angalia usije ukaingia matatizoni na jeshi letu kwa kuongelea vita ambayo tayari kuna katazo la chombo chetu cha ulinzi na usalama.
Huyo afisa aliyefairki ni mwingine tofauti na yule wa miezi iliyopita? au ndiyo yule yule? tunaambiwa kuwa jeshi letu linalinda amani tu haliko front kuna ukweli?
Nasikia amani ya kweli haiwezi kupatakana bila paul Kgame kutolewa madarakani, na hii vita itaishia ilikoanzia yaana Rwanda. tunataka kumtia adabu huyu rais mwenye damu za watu na anayetishia kumuaa rais wetu,
tunafikir vita hii mwisho wake ni kigari unasemaje?
Tunashukuru kwa taarifa kwa sababu baba na kaka zetu wapo huko, inshallah MUNGU atawasaidia.
tuambie kiini cha mgogoro ni nini, na kama unasema mgogoro unakaribia miaka 14 tuambie interest ni nini na kama hiyo interest inapersist kwa marais wote, na kama sio kwa nini vita isikome so long rais mwanzilishi au aliyehusika kwanza hayupo? na kama marais hawahusiki, basi wameshindwa mbinu ya kunyamazisha hiyo migogoro?
JWTZ na majeshi mengine ya SA na Malawi yote yapo front. Tofauti ni kuwa JWTZ ndiyo lead army kwa kutoa kamanda wa majeshi ya FIB na viongozi. Hawajatulia kaka. Habari zilizopo ni kuwa Miji iliyokaliwa kiukamilfu mpaka sasa ni Kiwanja, Rumangabo, Kitale, Kibumba, Kibati, Munigi, Rwaza na Kalengele.
Sawasawa, kwanini hawakuweza kuwa-push back miaka hiyo?
Ndiyo maana wengi wetu tulikuwa tunaona kuwa Rwanda ni nchi ndogo kulinganiusha na hizo, ila inawapa headache. Sasa kwanini walishindwa kuwasukuma mipakani wakati ule?
Nadhani ndio maana kagame ameanza visa na Tanzania....tutamtandika kama mwizi, hatujui huyuMkuu, JWTZ ndo wapo front na wanatoa kipigo vibaya mno. FARDC walishashindwa na M23 Siku nyingi, tangu JWTZ kutua Goma ndo tunawasikia na hao FARDC.
nafikiri ingekuwa vyema kama ungeanza kwa kutueleza japo kwa kifupi unachokijua kuhusu mgogoro huo, ili kama kuna maswali basi yaanzie hapo.