Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Hivi sababu ya General Kayonga kuwa Sucked inaweza kuwa hiyo tu kweli?

 
Hivi sababu ya General Kayonga kuwa Sucked inaweza kuwa hiyo tu kweli?

Hiyo ndo tofauti ya Kagame na maraisi wenu. Maraisi wenu wanaogopana. Waziri/kiongozi anasafirisha pembe za ndovu au mdawa ya kulevya mnamuonea haya. Yaani mtu mmoja anateketeza jamii halafu mnamuonea haya. That is unacceptable. Accountability hakuna kabisa. Sijui nchi yenu inaendeshwaje. Nchi iko kwenye auto-pilot watu wamesinzia tu hawajua kama watafika salama. Kagame hataki mchezo, kiongozi yeyote mwenye dhamana akiboronga anawajibishwa hapo hapo.
 

Watanzania tunajiamini kwa tulichonacho..sisi sio watu wenye majivuno...sisi sio wabaguzi wa kikabila...sisi mikono yetu hainuki damu.....Tanzania ni nchi yenye amani ya pekee Afrika nzima.........Umasikini wa watanzania unakuuma nini wewe? kama nchi yetui maskini wanyarwanda mlikua mnatafuta nin i nchini kwetu? si unajua tumewatimua majuzi hapa......Mkuu...Tanzania ina heshima yake mkuu...Tanzania hua hatukurupuki...soon mtaisoma namba na kutambua kwamba TZ is the super power in this region......
 

Mkuu.........ya Tanzania yanakuuma nini wewe? nyie endeleeni kubaguana huko.........na mikono yenu inayonuka damu...........Tanzania is there to stay...we have our internal challenges ambazo ni none of ur business...the fact remains Tanzania is one...people love each other ...ndo utofauti wenu na sisi.....Soon u will realize that your ego is your death
 

Muulize huyo alieuliza hapo juu eti Gen Kayonga alimkosea nini kagame. Yeye pilipili inamuwashia nini? Akiuliza jibu atapewa.
 
Muulize huyo alieuliza hapo juu eti Gen Kayonga alimkosea nini kagame. Yeye pilipili inamuwashia nini? Akiuliza jibu atapewa.

We ni empty headed kumbe.....blood stinking.......Mimi nafanya conversation na wewe..hayo ya watu wengine sio relevant.
 
We ni empty headed kumbe.....blood stinking.......Mimi nafanya conversation na wewe..hayo ya watu wengine sio relevant.

Hahaha. Is that all you can give? Lakini ukweli umeupata eeh! Basi tulia uelimishwe
 
Hivi sababu ya General Kayonga kuwa Sucked inaweza kuwa hiyo tu kweli?

Hii mihabari munayookota kwenye majarara ya wapinzani wa serikali ya kigali sina muda wakupoteze ku comment kwani wengi wenu hao ndio source ya habari kuhusu rwanda.
 

Huo ndio ugonjwa wa watanzania kujisikia supper power katika EAC,super power juu ya ukubwa wanchi wenye mali nyingi zisizo faidia wanachi? jeshi kubwa lipiganalo bila msaada wa wengine? viongozi wenye hekima na kuonambali kiasi kwamba hawa waogopi wenzao EAC katika suala la ardhi? mimi sioni hiyo super power inatokea wapi,kujikomba kwa wazungu ndio super power? kwahilo naweza amini muko super power mnajua kuchongea wenzenu sana.
 
you mean Congo imekubali kutoa amnesty kwa kina bisimwa au nimekuelewa vibaya?

Habari ndiyo hiyo kwenye mkataba wametoa amnesty ya jumla,sasa tusubiri labda jamaa wata geuza mambo kwani wanajidanganya wameshinda hakuna haja ya mazungumuzo.
 
Bila shaka ukweli huu unatakiwa usomwe na MUKAMASIMBA.

Mbona sikuelewi kijana,unasema FDLR ndio wenye nchi unamaanisha waliopo sio nchi yao? halafu unaongelea wingi wawatu sasa inamaana kama wewe huja toka katika kabila kubwa huwezi ongoza nchi? je yawezekana kua minority inapunguza uwezo wa kuongoza? kuongoza nchi sio unatokea wapi au unazaliwa na nani,bali ni akili uliyo nayo na uwezo wako wa kuongoza,sasa kwa taarifa yako hao unaoita wengi ndio waliomchagua kagame kwani ni yeye ameleta amani na maendeleo nchini.
 
Is this the end of war or the end of battle in DRC? Nategemea jibu promtly.
 
Naomba bwana MUKAMASIMBA unijibu hivi General Kayonga yupo wapi? na alifanya nini mpaka akadhalilishwa vile? Haiwezekani Mkuu wa Majeshi akaachishwa kazi kupitia vyombo vya habari. Hivi aliwaudhi nini?

Sasa wewe unashangaza kwani mtu lazima uwesehemu moja siku zote bila kubadilishwa? nikawaida kubadilishwa au kuadhibiwa wakati ukifanya kosa nchini rwanda.
 
Na mimi nilikuwa nauliza kitu alichofanya mpaka akaondoshwa, huenda zinaweza kuwa lessons kwa wengine.

 

Ninyi mna nchi yenu na ardhi yenu mbanane huko huko...kama mnazaana hovyo hovyo ndo mtajijua.....kuzaana mzaane nyie alafu muitake ardhi ya watu...si majanga hayo.......kama mnainyemelea ardhi ya Tanzania kamwe hamtaipata...Tanzania is our motherland...hatuwezi kujishusha kwa wengine eti muipate ardhi yetu...Sheria za Tanzania zitasimamiwa na kuheshimiwa...wahamiaji wote haramu tutafukuza ........Yes Tanzania is a super power...accept or deny it....Tanzania is far ahead kulinganisha na hizo nchi nyingine zinazonuka damu...Tanzania ina amani na mazingira mazuri yanayovutia wawekezaji....ni bora kuwa na wawekezaji wa ulaya kuliko wanuka damu wa Rwanda ,Kenya na Uganda.........wabinafsi,,,wenye wivu,wenye hila na wabaguzi......We watch your moves
 

Bongo mambo ya ushikaji kwenye pumzi za watu ....noma kweli hawajitambui bado ngoja tuone 2015 kama wataweza badilisha mambo tutajua wameamka usingizini.
 

Kwa kifupi nakujibu kwa msemo wa kiswahili usemao"hujafa hujaumbika" nafikiri umenipata hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…