Uliza swali la kizushi ujibiwe jibu la kizushi

Uliza swali la kizushi ujibiwe jibu la kizushi

madhara ya utumiaji wa fb yanaanza kujionesha
Mkuu JamiiForums ni pana sana. Yapo majukwaa ambayo hutakiwi kutembelea kama uko serious sana na maisha. Mkuu nenda Jukwaa la Siasa ukapambane na nguli wenzio, au kama uko enrolled Great Thinkers nenda uko ukashindane akili na wenzio, au kama una kichwa kipana kama naniliu ya mkeo, nenda JF Intelligent ukashare idea huko

MMU, Chit-chat na Intertainment sio mahala pa kujinadi kuwa unaakili nyingi

Nikuulize kitu, hivi ukichangia hoja kwenye uzi wa kula tunda kimasihara ndo inamaanisha kuwa uko na akili kubwa sana? Akili yako inavyofanana na mbususu, kwa sasa ingependekeza kuwa uzi wa rikiboy upelekwe facebook. Akili huna
 
Mnaosema wenzenu wana tumia TECNO, ITEL AU INIFINIX nk. Mtandaoni ili hali muhusika haufahamiani nae huwa mnatumia mbinu gani kujuwa simu ya mtumiaji? 🤣🤣🤣
 
Kwanini tuna incompetent leaders?

Au basi jibu nimejua

Rushwa
 
Kwasababu tuna idiots voters.
Voters na rushwa ni ndugu.

Rushwa ndio shida yetu.

Kama rushwa itachukiliwa ni haramu kama madawa ya kulevya kila kitu kitanyooka.

Rushwa ina nguvu sana.
 
Back
Top Bottom