Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
- Thread starter
-
- #301
Kikubwa angalia unahitaji ku trade Nini pia jaribu kucheki legitimate ya broker unayemuona mwenye financial instruments unazozita.Broker gan unayemtumia mwenye hivyo vyote uaewez trade Amazon,naddaq100,Tesla nk
well said mkuu..,ukiwa na working strategy afu tamaa ukaweka pembeni huwezi kublow account kamwe..,Kweli ndugu kuna watu wanatabia ya kuchallenge mtu lakini kwa mtu ambaye anaelewa ,kwenye forex industry you can't be right all the time, sio kwamba market isipofata analysis zako ndio kuwa huelewi hapana.
Mimi wakati nimeanza kujifunza forex miaka michache hapo nyuma nilikuwa ni mtu mwenye tamaa sana, na tamaa yangu ilichochewa sana na first deposite niliyo ifanya ilikuwa 120$ nilipandisha kwa muda wa wiki hadi ikafika 800$,
Kuanzia hapo nikawa sijipi nafasi yaani sipumziki sio usiku sio mchana nikutrade tu halafu lotsize nilizokuwa nikiingia nazo kwenye soko nilikuwa najipa pips 50 au 60 kuchoma acc.
Ile market crush iliotokea 2018 kwenye pair zenye yen mfano gj ule usiku nilitengeneza 3500$ kupitia Gj kwa lot ya 0.5
But all in all hazikudumu nilianza kuzipoteza siku baada ya siku, soko likianza kunifundisha discipline taratibu taratibu, ile confidence ya kuweka lotsize kubwa ikapotea, kiukweli nimejifunza mambo mengi sana upande wa nidhamu.
Imefika mahala ili nichome acc nimejiwekea gap la pips 500 au zaidi now hata market ikiniendea vibaya hasara inakuwa ndogo, kwa uchumi wa bongo ukiwa hata na 3000$ ukawa unafukuzia profit ya 15$ hadi 20$ hata market ikienda vibaya ukapoteza 50$ bado ni stahimilivu.
Duuu, wastani wa siku 400, na hapo means uwe 24hrs onlineKwa kuongezea tu unahitaji masaa 10,000 ya ku practise ili kua guru kwenye trading
Hii sio guarantee ndugu.kumbuka practice makes permanent otherwise if it's perfect practice sir.Kwa kuongezea tu unahitaji masaa 10,000 ya ku practise ili kua guru kwenye trading
Kwa Nini una uza kitabu mkuu hujaweza kuyatumia hayo madini ukapata hela mpaka uanze kuuza.ina Mana unaamua kuwa muuzaji wa vitabu na kushawishi watu kuwa watapata pesa ya bure amaKwa wanaohitaji eBook ya crypto ya kiswahili wanione namb hizi 0627975870 WhatsApp hakuna wizi kabisa ukituma pesa unatumiwa eBook
View attachment 1818803
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Haya bana Ila hii industry ni industry pekee ambayo watu Wana humanity heart sana. Wafundishao ni wengi Sana kuliko wanao trade. Huyo uliyemtaja Hana hela na aliamua kuwachomoa watu hela kwa ugeni wao wa maarifa mkuu.Hata sirjeff Dennis alikua na uwezo wa kujifungia ndan na kutrade kimyakimya kwann alianzixh TMT na kuwa charge watu wakat alikua na pesa za kutoxha
#thinkbig
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Unaelewa kabisa kuwa mtu anayechukua millions or hundreds thousands of dollars hawezi kuja kukomaa kuwa anafundisha anatafuta Dola Mara 10,50,60,200, unalijua ilo.Kwa nni akin elikanafx na Clinton wanaanzixh madaras ya online na kuwaomba watu walipe au vision2025 kwa nn watu wamelipia wakat akina Jeff wanapes za kutoxh bro stuka bas na quote zako
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Poa bana kila la heri Ila watakiwa uwe balozi mzuri ishu sio nyepesi kama watu wanavyoambiwa Mana limbic brain is easy to winKila mtu anatafuta sehemu ya kupatia kipato kam we kwa SKU unatrade $5000 kuna wengn $10 xo kila mtu anatafuta pa kusav maisha yke so minaon usiidis San biashr yang sirjeff Dennis alisem anaetak kumdis fx trader aende kwake
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
mkuu wanasema the problem is not the problem, the problem is your altitude to the problemHabari zenu wanajamii forum!
Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni biashara za muda mrefu sana tokea huko karne ya 18.
Sie tumezipata kutokana na ujio Wa simu janja ikiwa imeunganishwa na internet.
Watu wanajua kuwa kuna upigwaji kweli Upo kwa watu wengine kuwaambia wengine wao ni Guru wanawapiga pesa.
Kama tulivyoshuhudia huko kama miaka mitatu inapita ivi.
Ishu hii ni halali sema inatakiwa upate MTU sahihi sana akuelekeze ila siye mwenye kuweka Hela mbele.
Ukweli ni kuwa unaweza ukafanya kama kamari na unaweza ukaifanya kama biashara zingine tu.
Na uzuri Wa hii kuijua hakuna cha TRA,wateja,bosi,wala nani yaani hakuna kubembeleza mteja.
Pia kumbuka ni fani kama fani zingine zilivyo jamani mfano kuwa mfanyabiashara mkubwa ana uzoefu Wa kutosha na sio kuwa amelala na kuamka akajikuta hapo alipo.
Ni kama ilivyo sheria, engineering, Doctor of Medicine, mhasibu ama mwalimu.so hakuna ulelemama kuwa kuna pesa nyepesi kama wengi wanavyoinadi.
Binafsi nimejitoa kwa biashara hii hata kama itakuja kunilipa huko mbele kwa miaka 20 tokea sasa siogopi mana hakuna mafanikio cheap tunavyopenda binadamu.
Ila ni nzuri ukiijua unachofanya.
Biashara hii ni suala zima kuhusu psychology.
Pia haitakiwi ufanye live trades before ya demo trading na umeki faida kwa demo account kama mwaka mzima ndo uamue kuingia huko kwa live trades.
Wengi wanafundisha watu kwa kuwapotosha kuwa kuna pesa laini.
Hii fani sintoiacha mana najua hata wanangu nitawafundisha maarifa yake so yaweza kutokea kwao matunda.
Yaani unaipofanya tegemea miaka mitano ama kumi huko mbeleni kabisa usiwe na haraka na utoe mawazo ya Hela kichwani.
Usiwe kama students eti ni fani gani yenye kulipwa pesa nyingi.
Binafsi napenda niwe Nina interact na watu wenye passion nayo mana shuleni huwezi ukakaa mwenyewe. Pia unawafundisha wasio ijua kuna vitu unaimprove. Kwa wale walikuwa wanawaelekeza wenzao shuleni nadhani unajua unaletewa swali hulijui ila unashangaa unalijibu na unapata solutions fasta sana.
Nimeona CFD nikajua ni "Computational Fluid Dynamics", kumbe ni mambo ya trading and the likes. [emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile ap
mkuu wanasema the problem is not the problem, the problem is your altitude to the problem
naomba kuuliza yafuatayo
1. kama market ipo kwenye uptrend na chukulia trendline umechora kwa kutumia H4 timeframe na market ipo uptrend(bullish market), sasa nitajuaje kama trend market ipo mwishoni kuisha na kuanza trend mpya downtrend?? na nitajuaje life time ya momentum hiyo itakayotokea??
2.how do you deal with retracement or correction phase?
3.tafsiri ya momentum katika fizikia inasema is the pruduct of mass and velocity, pia wanasema when either mass or velocity increases also momentum increases , na tafsri ya momentum kwenye forex wanasema is the product of TIME and PRICE yaani wanamanisha momentum is about price and time an increase in momentum happen when price increase very quickly in a short period of time sasa kwa maelezo hayo ni kwamba PRICE inapomove juu au chini kwa haraka sana (quikly) pasipo vikwazo vyovyote (yaani either una kuta kuna kandle moja kubwa sana wanita spike au candle za aina moja bullish au bearlish au mchanganyiko japo zinakuwa zinapanda au kushuka straight pasipo sideways move sasa hapa tunatengeneza point ya juu, high swing na point ya chini low swing , sasa kama ni bullish point ya juu wanaita supply zone na point ya chini demand zone. sasa tuangalie upande mwingine support na resistance wanasema resistance ni high swing zote na support ni low swing zote . Sasa swali linakuja je suppot level zote zinaqualify kuitwa demand zones ?????? na resistance levels zote zina qualify kuitwa supply zone???
4.je Momentum trading ni sawa na support and resistance trading???
5.how do you deal with reversal patterns such as wedges and contnuation patterns such as flags,traingles patterns?
KALIBUNI WAJUMBE
Pesa ipo kwenye MT4 au MT5 kuitoa ndo utajiri wako. utajiri upo kwenye vichwa vyetu.
Umeuliza maswali ambayo utayapatia majibu through mindset change na through experienced gained.mkuu wanasema the problem is not the problem, the problem is your altitude to the problem
naomba kuuliza yafuatayo
1. kama market ipo kwenye uptrend na chukulia trendline umechora kwa kutumia H4 timeframe na market ipo uptrend(bullish market), sasa nitajuaje kama trend market ipo mwishoni kuisha na kuanza trend mpya downtrend?? na nitajuaje life time ya momentum hiyo itakayotokea??
2.how do you deal with retracement or correction phase?
3.tafsiri ya momentum katika fizikia inasema is the pruduct of mass and velocity, pia wanasema when either mass or velocity increases also momentum increases , na tafsri ya momentum kwenye forex wanasema is the product of TIME and PRICE yaani wanamanisha momentum is about price and time an increase in momentum happen when price increase very quickly in a short period of time sasa kwa maelezo hayo ni kwamba PRICE inapomove juu au chini kwa haraka sana (quikly) pasipo vikwazo vyovyote (yaani either una kuta kuna kandle moja kubwa sana wanita spike au candle za aina moja bullish au bearlish au mchanganyiko japo zinakuwa zinapanda au kushuka straight pasipo sideways move sasa hapa tunatengeneza point ya juu, high swing na point ya chini low swing , sasa kama ni bullish point ya juu wanaita supply zone na point ya chini demand zone. sasa tuangalie upande mwingine support na resistance wanasema resistance ni high swing zote na support ni low swing zote . Sasa swali linakuja je suppot level zote zinaqualify kuitwa demand zones ?????? na resistance levels zote zina qualify kuitwa supply zone???
4.je Momentum trading ni sawa na support and resistance trading???
5.how do you deal with reversal patterns such as wedges and contnuation patterns such as flags,traingles patterns?
KALIBUNI WAJUMBE
Pesa ipo kwenye MT4 au MT5 kuitoa ndo utajiri wako. utajiri upo kwenye vichwa vyetu.
Fanya monitoring ya currency indexsasa nitajuaje kama trend market ipo mwishoni kuisha na kuanza trend mpya downtrend?? na nitajuaje life time ya momentum hiyo itakayotokea??
Tumia Higher time frame Daily/ Weekly - Hivyo ukiwa kwenye lower Timeframe below H1 utatambua wazi kuwa hii ni Retracement/ Correctionhow do you deal with retracement or correction phase?
Huu ni uongo umeutoa wapi?.forex wanasema is the product of TIME and PRICE yaani wanamanisha momentum is about price and time an increase in momentum happen when price increase very quickly in a short period of time sasa kwa maelezo hayo ni kwamba PRICE inapomove juu au chini kwa haraka
Unachanganya habari.je Momentum trading ni sawa na support and resistance trading???
Duu, Bado una safari ndefu sana.5.how do you deal with reversal patterns such as wedges and contnuation patterns such as flags,traingles patterns?